Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone !Tanzania kuna shida kichwani, ww kiongozi,unaficha fedha nje ya nchi, alafu unaenda kuomba, ww kiongozi miaka 25, maana wewe ndio mwenye akili kuliko wengine
Mabadiliko yakisiasa hayafanyikii mitandaoni.Jitokezee sehemu uliyopo kutoa hiyo chachu ya mabadiliko ili watu wakuunge mkono.Tukiwa na fikra zakutegemea vyama vya siasa ndo vituongoze kwenye kila kitu tutachelewa sana kwasababu ya tofauti za kimazingira na uhitaji.Kabisa mkuu, watanzania wanahamu na mabadiliko ya kisiasa
Duuu? KWA logic hiyo kumbe hata ccm ni ya NYERERE maana ndio mwasisi wa ccm, mkuu huo ni ubinafsi, (egoism) ya hali ya juu sana,ndo maana waafrika hatuendelei, ukinitiate tasisi au wazo kwa level ya nchi ni chako, afrika tunashida kichwaniWewe ni mwanachama wa chadema au mpiga porojo uku mitandaoni?..Sidhani kama unayajua yote yanayoendelea ndani ya chadema na vyama vyasiasa ili umuone mbowe anakosea.Hizi porojo zakusema cdm niya mbowe ni maneno yasiyo ni mantiki kwasababu kwakawaida kila jambo lazima liwe na muasisi.Anayetoa wazo lakuazisha kitu ndiye mwenye mali wengine wote wanabaki kua washirika.na mshirika kamwe hawawezi kua sawa na muasisi.Sisi wengine tuishie kua watazamaji kwasababu hatuna mamlaka yoyote ya maamuzi zaidi yakua wafuasi tunaobeba maono ya muasisi ata kama una machungu ila huo ndio ukweli.
Ndio, mkuu watanzania ni BAdo ni wajinga ukijitokeza tu, wanakuacha peako, ndio maana tupo humo kwa I'd fake, tutoe elimu kwanza ya kujitsmbuaMabadiliko yakisiasa hayafanyikii mitandaoni.Jitokezee sehemu uliyopo kutoa hiyo chachu ya mabadiliko ili watu wakuunge mkono.Tukiwa na fikra zakutegemea vyama vya siasa ndo vituongoze kwenye kila kitu tutachelewa sana kwasababu ya tofauti za kimazingira na uhitaji.
Wewe kama sio mchagga pole sana, hutakaa kuwa mwenyekiti maisha.Nonsense
Acheni kuinanga SACCOS yetu.Hii ni hatari kwa taifa, inatakiwa kifutwe kabisa
Ndiyo, ni SACCOS ya mjomba wetu, mradi huu umetuingizia mabilioni leo mnataka kutupora, hii haiwezekani.Kumbe ni saccos
Ajitokezee sehemu alipo ??! 😅😂Mabadiliko yakisiasa hayafanyikii mitandaoni.Jitokezee sehemu uliyopo kutoa hiyo chachu ya mabadiliko ili watu wakuunge mkono.Tukiwa na fikra zakutegemea vyama vya siasa ndo vituongoze kwenye kila kitu tutachelewa sana kwasababu ya tofauti za kimazingira na uhitaji.
Uchaguzi ndani ya chadema umeonyesha sura halisi ya Mbowe na wafuasi wake, nimeshanga sana kusikia Mbowe anasema" eti akiona CHAMA kinazamishwa anaingia mzigoni" wewe kama nani? Mwenye hati miliki ya CHAMA? Wewe kama mwanzilishi wa CHAMA?
Wewe kama nani mfadhili wa CHAMA? Daaa zamani nilikuwa siamini watu wakisema chadema ni CHAMA cha wachaga, chadema ni mali ya Mbowe, zaidi ya, miaka 20, ww BAdo ni mwenyekiti ?
Na hauna mpango wa kutoka. Hiyo ndio democrasia mnayohubili ndani ya CHAMA chenu? Huo ni unafiki betrayal in the city.
Kwa hali hiyo ccm wataendelea kukaa madarakani miaka 100. Umedis appoint sana watanzania wanaopenda haki, wanaopenda mawazo mbadala, wanaopenda mababadiliko."hakuna masika yasio na ncha" in every action there is equal reaction , kila MTANZANIA sasa anajua rangi yako, kuwa wewe ni "shadow "
Mungu ibariki Tanzania
By mwinjilist wenu Gabeji
Msemo waLissu Chadema ni yetu Sote TusibabaishaneNdio mkuu, walikuepo watu wababe duniani lakini leo hapo sembuse huyu,et amekijenga CHAMA?