Leo nimeamini kuwa chadema ni CHAMA cha Mbowe.

Leo nimeamini kuwa chadema ni CHAMA cha Mbowe.

Kilichopo chadema kinasikitisha, mwakani utasikia wakijinadi wanapambana demokrasia kwenye nchi, jitu limekaa miaka 20 madarakani Bado linatamani tu kuendelea kugombea😂
 
CHADEMA itaendelea kuwa mshirika wa CCM mpaka hapo Mbowe ataamua kupisha kiti waongoze watu wengine wenye misimamo Kama kina Lisu
Ndivyo mnavyojidanganya eh mkishakunywa ulazi sio? Mtasubiri sana kumpa huyo chizi chama
 
Duuu? KWA logic hiyo kumbe hata ccm ni ya NYERERE maana ndio mwasisi wa ccm, mkuu huo ni ubinafsi, (egoism) ya hali ya juu sana,ndo maana waafrika hatuendelei, ukinitiate tasisi au wazo kwa level ya nchi ni chako, afrika tunashida kichwani
Nyerere asingeamua mwenyewe kutoka madarakani asingetoka, maana alikuwa anadanganywa na machawa aendelee kama mbowe
 
Uchaguzi ndani ya chadema umeonyesha sura halisi ya Mbowe na wafuasi wake, nimeshanga sana kusikia Mbowe anasema" eti akiona CHAMA kinazamishwa anaingia mzigoni" wewe kama nani? Mwenye hati miliki ya CHAMA? Wewe kama mwanzilishi wa CHAMA?

Wewe kama nani mfadhili wa CHAMA? Daaa zamani nilikuwa siamini watu wakisema chadema ni CHAMA cha wachaga, chadema ni mali ya Mbowe, zaidi ya, miaka 20, ww BAdo ni mwenyekiti ?

Na hauna mpango wa kutoka. Hiyo ndio democrasia mnayohubili ndani ya CHAMA chenu? Huo ni unafiki betrayal in the city.

Kwa hali hiyo ccm wataendelea kukaa madarakani miaka 100. Umedis appoint sana watanzania wanaopenda haki, wanaopenda mawazo mbadala, wanaopenda mababadiliko."hakuna masika yasio na ncha" in every action there is equal reaction , kila MTANZANIA sasa anajua rangi yako, kuwa wewe ni "shadow "

Mungu ibariki Tanzania

By mwinjilist wenu Gabeji
We ni nyang'ao tu, mbona lipumba hamsemi chama cha tabora au waislam.
Wewe huwezi kua smart kumzidi mbowe.
Huwezi ku foresee kama mbowe.
Unatamani uone cdm ife ndo ufurahi.
Kwendraaaaa huko pusi wee
 
Mbowe na machawa wake wanaiharibu cdm, wanamuita lisu mropokaji akati huko nyuma hajawahi toa siri yoyote ya chama.

Lisu ameamua kusema kwa sasa coz anataka mabadiliko ya kweli, na si blah blah za mbowe na machawa wake.
Neno mropokaji alitamka nani na wapi
 
We ni nyang'ao tu, mbona lipumba hamsemi chama cha tabora au waislam.
Wewe huwezi kua smart kumzidi mbowe.
Huwezi ku foresee kama mbowe.
Unatamani uone cdm ife ndo ufurahi.
Kwendraaaaa huko pusi wee
Nyie ndo machawa wa Mbowe, alafu mnasema ccm wamekaa mda mrefu
 
We ni nyang'ao tu, mbona lipumba hamsemi chama cha tabora au waislam.
Wewe huwezi kua smart kumzidi mbowe.
Huwezi ku foresee kama mbowe.
Unatamani uone cdm ife ndo ufurahi.
Kwendraaaaa huko pusi wee
Ww utakuwa mchaga
 
Uchaguzi ndani ya chadema umeonyesha sura halisi ya Mbowe na wafuasi wake, nimeshanga sana kusikia Mbowe anasema" eti akiona CHAMA kinazamishwa anaingia mzigoni" wewe kama nani? Mwenye hati miliki ya CHAMA? Wewe kama mwanzilishi wa CHAMA?

Wewe kama nani mfadhili wa CHAMA? Daaa zamani nilikuwa siamini watu wakisema chadema ni CHAMA cha wachaga, chadema ni mali ya Mbowe, zaidi ya, miaka 20, ww BAdo ni mwenyekiti ?

Na hauna mpango wa kutoka. Hiyo ndio democrasia mnayohubili ndani ya CHAMA chenu? Huo ni unafiki betrayal in the city.

Kwa hali hiyo ccm wataendelea kukaa madarakani miaka 100. Umedis appoint sana watanzania wanaopenda haki, wanaopenda mawazo mbadala, wanaopenda mababadiliko."hakuna masika yasio na ncha" in every action there is equal reaction , kila MTANZANIA sasa anajua rangi yako, kuwa wewe ni "shadow "

Mungu ibariki Tanzania

By mwinjilist wenu Gabeji
So sad
 
Back
Top Bottom