Leo nimeamini kuwa chadema ni CHAMA cha Mbowe.

CCM mbona sijawasikia mkifanya uchaguzi wa mwenyekiti wenu?
 
Itafikia hatua tuchunguze uwepo wa utitiri wa vyama,maana hili la Mbowe linaleta picha ya watu kutotaka mabadiliko.
Wanataka maslahi sio dola.
Nashangaa,Lisu kugombea tu ndio chama kiwe cha mbowe?
Nashangaa sana
 
Ni shida sana, labda lisu anzishe chake, na hawezi kumruhusu
 
Itafikia hatua tuchunguze uwepo wa utitiri wa vyama,maana hili la Mbowe linaleta picha ya watu kutotaka mabadiliko.
Wanataka maslahi sio dola.
Nashangaa,Lisu kugombea tu ndio chama kiwe cha mbowe?
Nashangaa sana
Kwakweli hata Mimi nitashangaa kama itakuwa ni kweli haya yasemwayo !
Ngoja tuone !
 
Chadema ni CHAMA cha Mbowe na ccm
 
Ccccccm ni chama cha urithi, kabanjanani utaisha kuwa mbunge au waziri tu. Mwendazake alipata bahati ya mtende baada ya mvurugano kati ya Kikweteee na Benja
 
Tanzania ukiona kwa jicho la tatu lisu ndio mpinzani wa kweli, hao wengine ni mfumo wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…