Nisahihi ila ni mazoea yaliyojengeka hivyoHizi timu timu ni za kiislam? Hilo ndio kosa la kiufundi ambalo hunifanya nisiwe mshabiki wa hizi timu mbili.Ukiwa na mashabiki ama wanachama wenye imani tofauti ondoa itikadi au ukitumia dini shirikisha viongozi wa dini zote hata kama ni mshabiki mmoja lazima usifanye ibada ukamwengua
Hao ni mashabiki tu wa tawi moja la Yanga, la Kwa Mtogole! 🙄
Dah! Wananchi wametisha. Haya ni zaidi ya mafuriko.
Mimi sina lengo la kubishana mkuu, ila nimekuletea picha kama jinsi nyinyi mlivyoleta picha za zamani na kuisindika kwa maneno " mashabiki wachache" bila kueleza ni wa tawi gani.Hao ni mashabiki tu wa tawi moja la Yanga, la Kwa Mtogole! 🙄
HahahhaHizi timu timu ni za kiislam? Hilo ndio kosa la kiufundi ambalo hunifanya nisiwe mshabiki wa hizi timu mbili.Ukiwa na mashabiki ama wanachama wenye imani tofauti ondoa itikadi au ukitumia dini shirikisha viongozi wa dini zote hata kama ni mshabiki mmoja lazima usifanye ibada ukamwengua
Wewe huwajui WAZARAMO, yeye akisikia sehemu yenye ngoma au shughuli yeye itikadi hana. Hawa wana jezi zote za simba na yanga wakiwa na sherehe simba anavaa ya simba huyo huyo Yanga wakiwa mabingwa wanavaa za Yanga
Uto...wamekaa mguu pande mpaka Sasa.Wadau, Wapenzi, Wafuatiliaji wengi wa soka la Tanzania wamekuwa wakisema Kuwa Kila kundi la Watanzania 10 basi 7 ni Mashabiki wa Yanga SC.
Kauli hiyo ilikuwa inanipa wasiwasi sana kuiamini na nilikuwa nina mashaka nayo kwa muda mrefu sana.
Ila leo nimejidhihirisha beyond shaka yeyote kuwa naam Hii klabu inaongoza kupendwa na kufuatiliwa zaidi na wafuasi wa soka kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.
Inapendeza sana.
View attachment 2272928
View attachment 2272929
View attachment 2272930
Nawashauri simba wafuate nyayo za yanga ili wafikie level hizi. Wasirudi tena nyuma kwenye enzi za ukabaila.
View attachment 2272933
[emoji23]
Ila hili kombe, hapana aisee.Sina shaka na ubingwa mliobebe (kila mtu anajua) lakini hebu tuongeeni ule uhalisia wakuu, hivi hili linaweza kuwa kombe tena la ligi kuu tena inayosemekana kuwa ni bora? Ngoja niwaletee la wenzetu.
View attachment 2273009
Ni kwamba ubingwa mliusubiria kwa miaka mingi sana, mlikuwa na kiu ya kuupokea ndiomaana mara ya mwisho kuupokea haikuwa hivyo.
HONView attachment 2272986GERENI
Sina shaka na ubingwa mliobebe (kila mtu anajua) lakini hebu tuongeeni ule uhalisia wakuu, hivi hili linaweza kuwa kombe tena la ligi kuu tena inayosemekana kuwa ni bora? Ngoja niwaletee la wenzetu.
View attachment 2273009
Mo aliwapa gari la kubebea mitungi ya gas[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawaona hapo kwenye fuso lao la matangazo na mashabiki wao wachache! [emoji16][emoji16][emoji16]
Shida sio kombe ila maana ya hilo kombe......hata ukipewa kikombe cha chai fresh tu ilimradi maana yake haijapotea bado....wewe ni bingwa.....na maana ya bingwa ni kwamba kawasira wale wote wa chini yakeHawa wenzetu MALI wamewezaje kuwa na kombe zuri? Nafikiri kuwepo na tenda juu ya utengenezaji wa makombe ya ligi kuanzia msimu ujao.View attachment 2273028