Tupe mlio wa matako ya Mmwamedi yanaliaje hasa kipindi kile alichovalishwa kanga.haya ni mataqo ya masikini yanalia mbwata
Kwamba unatafuta namna ya kulifananisha na hili? Ubingwa mmeushinda lakini hili kombe linatakiwa kubadilishwa aseeh.View attachment 2273998
Halafu inahuzunisha sana kwamba hawa ni majobless wote.Wadau, Wapenzi, Wafuatiliaji wengi wa soka la Tanzania wamekuwa wakisema Kuwa Kila kundi la Watanzania 10 basi 7 ni Mashabiki wa Yanga SC.
Kauli hiyo ilikuwa inanipa wasiwasi sana kuiamini na nilikuwa nina mashaka nayo kwa muda mrefu sana.
Ila leo nimejidhihirisha beyond shaka yeyote kuwa naam Hii klabu inaongoza kupendwa na kufuatiliwa zaidi na wafuasi wa soka kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.
Inapendeza sana.
View attachment 2272928
View attachment 2272929
View attachment 2272930
Nawashauri simba wafuate nyayo za yanga ili wafikie level hizi. Wasirudi tena nyuma kwenye enzi za ukabaila.
View attachment 2272933
[emoji23]
Lugha zinagongana. Utopolo wenzako wanadai wamejitoa kwa kuwa ni idea ya Simba !! Kaeni mkubaliane lugha mojaMuwashukuru Yanga kuja na hiyo idea.
La sivyo msingepata pesa ya kumsajili MOSES PHIRI.
Haya , kwakuwa si mara ya kwanza Yanga kuchukua ubingwa tuoneshe na gari walilokuwa wakitumia miaka ya nyuma kutembeza kombe lao Maana isijekuwa tunajifariji kwamba hata huko nyuma tulikuwa tunatumia gari la hivi kumbe tulikuwa tunatumia bajaji .
Namuona Boss wangu wa Arsenal.....Stan Kroenke na mtoto wake Josh Kroenke wakirurahia ubingwa na timu yao ya LA Rams
Ndio, au we ushaona wazee wa kanisa kwenye zile timu????Za Kiislam?
Ameandika Yericko Nyerere.Bora wapumzike,kuliko mnaokosa na huo usingizi Kwa stress na kukosoa vitu vya kitoto kitoto
Yanga wanashangilia kushinda mechi nyingi na kukusanya points nyingi kuliko timu nyingine.......hizi concern mnazoziibua nikwasababu Yanga 💚💛 amekuwa Bingwa? Angekuwa Bingwa Simba bado mngekuja na hizo fallacies? Nchi yetu bado tunamatatizo yale matatu bado ila la UJINGA bado ni changamoto kwenye Nchi hiiAmeandika Yericko Nyerere.
"Ukiambiwa kuwa hili ni kombe la Ligi Kuu Tanzania unaweza kuonekana kama chizi hivi hasa ukikaa na watu wa mpira duniani huko... Hili kombe atakuelewa Haji S. Manara tu ukimwambia hili ni kombe la ligi kuu.
Hii aibu laana zote zimwendee Karia na @tanfootball yote. Hili ni yale masufuria ya Kariakoo Gerezani yamegongwagongwa na kupigwa libeti kisha yakapelekwa kwa Kimario Tabata Dampo yakapuliziwa rangi tu? Naamini gharama za kutengeneza hili karai la gerezani haidizi elfu sabini (70,000/=).
Hivi tuko serious kweli Ligi ya thamani ya Milioni mia tano kombe lake ndio hili? Ligi ambayo inashirikisha Klabu ya Simba yenye bajeti yake kwa mwaka zaidi ya bilioni 5, Hivi kombe la ligi ndio hili? Nafikiriki masihara katika soka letu yamevuka mipaka, sheria za nchi zinatakiwa kuchukua mkondo wake. Ndugu zetu Nbc Bank HQ mnaodhamini Ligi hii, hilo ndio kombe mmeleta?
Ndugu zetu Uto kwakuwa walikuwa desperate na ubingwa basi hawajui la mwadhini wala mnadi sala, lakini wangekuwa na uelewa hata nusu tu, wangesusia kabisa, hii ni aibu kwa ligi yenye klabu bora kama ya Simba SC Tanzania ambayo iko kwenye 10 bora Afrika halafu ligi yake kombe ni hili sufuria."
Toa maoni yako
#tujuzeView attachment 2276040
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huwajui WAZARAMO, yeye akisikia sehemu yenye ngoma au shughuli yeye itikadi hana. Hawa wana jezi zote za simba na yanga wakiwa na sherehe simba anavaa ya simba huyo huyo Yanga wakiwa mabingwa wanavaa za Yanga
Kinu cha kutwangia hiki lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina shaka na ubingwa mliobeba (kila mtu anajua) lakini hebu tuongeeni ule uhalisia wakuu, hivi hili linaweza kuwa kombe la ligi kuu tena inayosemekana kuwa ni bora? Ngoja niwaletee la wenzetu.
View attachment 2273009
Ana wenge la kufurushwa Cairo huyo, msichukulie serious.Ona sasa! Watu wazito kama hawa Afrika wanakubaliana na Wananchi! Ila cha kushangaza ndani ya Bongo hii hii, kuna watu roho zinawauma.