Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

sorry, punani ndio nini?
 
Duh! Pole sana mtu wangu....ila pia shukuru alivyokuangalia maana pengine usingejishtukia ungeenda hivyohivyo mzinga una barizi!
 
Duh! Pole sana mtu wangu....ila pia shukuru alivyokuangalia maana pengine usingejishtukia ungeenda hivyohivyo mzinga una barizi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo neno mzinga jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…