Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

New swagga kuacha utamu nje?? Barabarani tena?
248688.jpg
duh pole, ni zipu ya mbele au kifuani
ingependezamo na kapicha kafuatie huo mshono labda ni tight jeans
 
Pole sana mrembo.... next time unga urafiki na kioo, wanasemaga hakidanganyi.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
isije kuwa alikuwa anaishangaa mpk akajisahau kukujulisha masikini
 
Back
Top Bottom