Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini zipu yake kila siku iwe wazi, jojoleo inatokea zipuni nini mkuu [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
sorry, punani ndio nini?
MIMI MKUU MARA YA KWANZA NILILISIKIA KWENYE "POETIC JUSTICE",SIJUI INA MAANA GANI
tumblr_mnmwzpx5cx1rqirn1o1_500.gif
 
Back
Top Bottom