Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wancheka eeh, sawa tu! Sema tutaftane mama. Una kile ambacho mimi sina na nnacho kile unachohitaji hapana shaka!Hahahahahahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wancheka eeh, sawa tu! Sema tutaftane mama. Una kile ambacho mimi sina na nnacho kile unachohitaji hapana shaka!Hahahahahahahaa
Kwanin lakini unapenda kuacha zipu wazi? Hujui vumbi likiingia utapata kansa ya nywele?Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyo mzembe ukaacha kuifunga.... dah hizi bahati nyingine mbona wengine hazitudondokei wajamaeni????Niliwahi kumwambia dada mmoja ambaye zipu ilikuwa haijafungwa wakati nakutana naye akiwa na mwenzie.
Jibu alilonipa alisema njoo uifunge. Nilijisikia unyonge maana niijua kaisahau na hivyo nilimwambia kwa nia njema kabisa.
Pole Mzigua90, maisha ndivyo yaivyo. Ukiwa wewe unapenda kujistiri wengine wanatamani wasistiriwe.
Siyo uzembe Asprin. Kama akili yako ina dual nature lazima utakuwa umejua mtu huyo ni type gani.Ulivyo mzembe ukaacha kuifunga.... dah hizi bahati nyingine mbona wengine hazitudondokei wajamaeni????
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Chakula ni chakula tu baba. Ukiwa na njaa shurti ule bhana....
Asante mkuu.. labda alimaanisha kweli ukamfunge ukakosa bahati. Kwa jibu hilo inawezekana alifungua makusudi ili umsaidie kufungaNiliwahi kumwambia dada mmoja ambaye zipu ilikuwa haijafungwa wakati nakutana naye akiwa na mwenzie.
Jibu alilonipa alisema njoo uifunge. Nilijisikia unyonge maana niijua kaisahau na hivyo nilimwambia kwa nia njema kabisa.
Pole Mzigua90, maisha ndivyo yaivyo. Ukiwa wewe unapenda kujistiri wengine wanatamani wasistiriwe.
Ha ha ilo usiwaze juicy fruitKuna hela??
Hio tunaitaga both team to score, haiko muki.nga!Ndiwooo.. una fuko la hela na mie nina nanihiii.
Kwenye miti hakuna wajenziAsante mkuu.. labda alimaanisha kweli ukamfunge ukakosa bahati. Kwa jibu hilo inawezekana alifungua makusudi ili umsaidie kufunga