Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Niliwahi kumwambia dada mmoja ambaye zipu ilikuwa haijafungwa wakati nakutana naye akiwa na mwenzie.
Jibu alilonipa alisema njoo uifunge. Nilijisikia unyonge maana niijua kaisahau na hivyo nilimwambia kwa nia njema kabisa.

Pole Mzigua90, maisha ndivyo yaivyo. Ukiwa wewe unapenda kujistiri wengine wanatamani wasistiriwe.
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanin lakini unapenda kuacha zipu wazi? Hujui vumbi likiingia utapata kansa ya nywele?
 
Niliwahi kumwambia dada mmoja ambaye zipu ilikuwa haijafungwa wakati nakutana naye akiwa na mwenzie.
Jibu alilonipa alisema njoo uifunge. Nilijisikia unyonge maana niijua kaisahau na hivyo nilimwambia kwa nia njema kabisa.

Pole Mzigua90, maisha ndivyo yaivyo. Ukiwa wewe unapenda kujistiri wengine wanatamani wasistiriwe.
Ulivyo mzembe ukaacha kuifunga.... dah hizi bahati nyingine mbona wengine hazitudondokei wajamaeni????
 
Siyo uzembe Asprin. Kama akili yako ina dual nature lazima utakuwa umejua mtu huyo ni type gani.

Vingi vinavyotafunika kwa urahisi si vema kuvifanya sehemu muhimu ya mlo wako
 
Niliwahi kumwambia dada mmoja ambaye zipu ilikuwa haijafungwa wakati nakutana naye akiwa na mwenzie.
Jibu alilonipa alisema njoo uifunge. Nilijisikia unyonge maana niijua kaisahau na hivyo nilimwambia kwa nia njema kabisa.

Pole Mzigua90, maisha ndivyo yaivyo. Ukiwa wewe unapenda kujistiri wengine wanatamani wasistiriwe.
Asante mkuu.. labda alimaanisha kweli ukamfunge ukakosa bahati. Kwa jibu hilo inawezekana alifungua makusudi ili umsaidie kufunga
 
Siyo uzembe Asprin. Kama akili yako ina dual nature lazima utakuwa umejua mtu huyo ni type gani.

Vingi vinavyotafunika kwa urahisi si vema kuvifanya sehemu muhimu ya mlo wako
Vipi kama alijifanya rahisi kwako tu? Ndo maana tunaogopaga kuwatongoza sababu mtatuona cheap
 
huyo me ulikutana nae siku hiyo hiyo uliyokutana na ke mwenzio!?au kila siku unavaa suruali zenye zipu mbovu, yote kwa yote nahisi una mzigo mkubwa hapo mbele yaani ina kimtuno flani hivi hiyo papu
 
Back
Top Bottom