Mi mwenyewe ni mwanaume, na ndiyo mfumo uliopewa kutawala, nyingine zote ni mbwebwe na ubatiri mtupuAchana na mfumo dume mkuu
Hata mawazo yako yametoka kwa upande huo huko
hahahahahahahahaahahahNngemkata kerbu moja nzuri sana kutangulia sio kufika,sema maisha haya bwana utakuta kaamka na stress zake huko ndo maana
ukipata muda Offline User utasoma uzi wangu nimeelezea vizuri, good morningWe kama ulimkuta nje ilikuaje umuovateki ndani?
Sasa si angenishitaki kwa kumtolea lugha ya matusi, hahahahahaahahaaaa ningemuambia tu unawashwa wewe
Pambana na hali yakohee, ndio inakuwaje? sijakusoma Bujibuji
aminaPambana na hali yako
Unalalamika umeanza siku vibaya kwa kuwa mtu kakukatiza mstarini.Sijakuelewa
PointKukaa kimya ni jibu la mjinga ameshatoka kwake amevurugwa
Kiranga atakunanga, Al-Watan mtani
Ahsante kwa utenzi/shairiKiranga atakunanga, Al-Watan mtani
Kisanga cha kimajanga, kughani kwani mizani
Usanze kutangatanga, kudhani uhayawani
Kichanga huna uganga, utalishwa korodani.
Sent from my Kimulimuli
Mie ni mwoga sana ndugu yangu mwena. naogopa kupigwa kwa ngumi, bora nipigwe kwa pesa au ule mguu mwingine hahahahahah ila sio ngumi ya mkonoUlifanya jambo la busara Sana, kuvumiliana ndio mpango. Fanya ugomvi endapo una nguvu zakupambana
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app