Leo nimeanza siku yangu na balaa

Leo nimeanza siku yangu na balaa

Angekuelewesha tu kwa utaritibu bila msuto...aniways..ulifanya vyema kunyamaza
 
Hapo tayari umeshamuadhibu, ataumia sana atajiuliza sana why yule jamaa? ni nani yule? ana nini yule?

Umetumia busara sana!

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
Ahsante kwa kunisifia ndugu yangu 1562013
 
Unalalamika umeanza siku vibaya kwa kuwa mtu kakukatiza mstarini.

Ungepigwa daflao kwa kugongwa na gari ukaanzia siku ICU kichwa kimepasuka na mkono umekatika ungesemaje?

Sent from my Kimulimuli
Ahsante kwa maneno yako mazuri Kiranga, alaa nimekosea Al-Watan
 
Kiranga atakunanga, Al-Watan mtani
Kisanga cha kimajanga, kughani kwani mizani
Usanze kutangatanga, kudhani uhayawani
Kichanga huna uganga, utalishwa korodani.

Sent from my Kimulimuli
Ahsante kwa utenzi/shairi
 
Ulifanya jambo la busara Sana, kuvumiliana ndio mpango. Fanya ugomvi endapo una nguvu zakupambana

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ulifanya jambo la busara Sana, kuvumiliana ndio mpango. Fanya ugomvi endapo una nguvu zakupambana

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mie ni mwoga sana ndugu yangu mwena. naogopa kupigwa kwa ngumi, bora nipigwe kwa pesa au ule mguu mwingine hahahahahah ila sio ngumi ya mkono
 
Sikulaumu.juzi tu ilitokea hvyo benki wadada wawili.tumeingia foleni imevurugika.mmoja yupo mbele mwingine nyuma.ghafla yule wa nyuma akakaa mbele ya mwenzie akamwambia umenikutaa.
Na mashavu kavimbisha.nikajiuliza kwanini asingemvumilia tu wakati angetoka wa mbele yake angeingia yeye.bila hata kukwaruzana.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom