Babu unaifahamu mpaka vitz..Ata Kavits pale nje hakuna jamani leo nimeumia wakati ukienda kwenye vikao uko vingine wanakosa pakupaki
Babu bana[emoji23][emoji23][emoji23]Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
yeye mwenyewe kaenda na baiskeli msome vizuri.Babu,umetisha [emoji23].yaani wewe ukajipanga ukaenda na ndinga ,halafu ukajikuta uko peke yako,watu wamepaki baiskeli tu!!
Tumeyaacha nyumbani.Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Kwanza umasikini mkubwa sana ni KUFIKIRI mtu kuwa na GARI ndio ana Maisha mazuri sana.Umekuwa kama mimi siku hz nikipita shule yoyote ya primary ya serikali nikaona hakuna hata kagari kakuzugia huwa najua walimu wa pale wamepigika kwel kwel na hata hawawez kuwapa motisha wanafunz,nachukia mno kuona mapikpik aina ya sanlg yamepakiwa shuleni utazan bodaboda ndo wamo madarasan wanafundsha
Hv inakuwaje mtumishi wa serikali anaenda dukan kununua pikpik yake ya kwendea kazini anachagua sanlg,yaan boxer,tvs,baja,xl,honda huzion
Ila kuna baadhi ya mashule ya primary ya serikali yapo njema hatari nje unakuta watu wamepaki vyuma hadi unashangaa,ila walimu wa hv sizan kama wanakomaa sana kufundisha