Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

Hamna kada inakula vizuri kama walimu wa mjini ndiyo maana wengi wana magari mazuri maana shule unakuta inawanafunzi mpaka 3000 halafu kila siku wanapeleka hela ya mkakati kuanzia 300-500
 
Nikajua Mwendazake aliwafanya mkawa matajiri 😆😆😆😆
 
Wahudhuriaji wa kikao itakuwa mlikuwa wengi kimtindo...

BUT ndio mjue,, Mtaji wa watoto wenu ni nguvu zao wenyewe,,maana hapo wazee inaonekana connection hakuna
 
Tutakukumbuka Daima hayati John Joseph Pombe Magufuli, ungekuwepo baba leo tusingeuziwa mafuta lita 1 sh 7500. Mkojani anaupiga mwingi ulimwenguni sie tunavunja chawa tu mitaani baba.
Kwani huyu jpm wako hakua na makamu, au cabinet wote walikufa?
 
Umepaniki eeh mjukuu wangu pole sana
Ninapaniki kivipi?
Kwa haya chini...


Umedai mwenyewe kuwa ulijifunza, na nilichoona mimi ni ulibubujikwa na mawazo!


...Ndiyo hayo uliyojifunza?
Pole babu, na mimi mjukuu nimejifunza.
 
Hamna kada inakula vizuri kama walimu wa mjini ndiyo maana wengi wana magari mazuri maana shule unakuta inawanafunzi mpaka 3000 halafu kila siku wanapeleka hela ya mkakati kuanzia 300-500
Kwa kwel kuna walimu wana maisha mazuri mpaka unajiuliza imewezekanaje
 

Kwani nyumba ndiyo kuyapatia maisha?
 
Nyoosha maelezo Shule gani Au Std 7 ya kayumba? Huko wengi choka mbaya, njoo kikao cha wazazi huku feza school au Tanganyika uone ma VX V8 utafikiri bungeni.

[emoji23]eti utafikiri bungeni, tumekwishaa![emoji38] nakwambia tumekwisha[emoji1787]
 
Utaenda na nyumba kwenye kikao?
Kwenda na gari kwenye kikao ndy umeyapatia maisha?

Mkuu unakuwa na akili kama za wadada wa mjini.

Kila mwanaume mwenye gari basi ndy mwenye pesa.
Hata kama amepanga chumba kimoja tandale mto ng'ombe.[emoji3][emoji3][emoji3].

Gari ni kama simu au TV Tu,
Kila siku zinatoka model mpya na zile za zamani kupitwa na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…