Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Yaani kuna watu wajuaji Ile mbaya we mvumilie tu jua kabisa sio watu wote ufahamu wetu tunafanana
Mkuu naona umevamia kwenye jambo hulifahamu, kuna jamaa anamuomba mtoa mada amkopeshe hela wakati anajua fika mwenzake kapata na hiyo changamoto ndio maana nikaongea hivyo mkuuSo we ukitaja Mungu, pole, yatapita, vumilia; unakuwa tofauti na hao? Mbona ni wale wale tu.
Make difference mpe mchongo, pole haisaidii kitu
Mkuu naomba nikopeshe hiyo 700,000 Nitakurudishia after 2 weeks, Nina shida sana mkuu, Au hata 500k ikiwezekana
Unaweza kukuta yupo nyumbani kwa baba hana hata rafiki.daah we jamaa roho yako syo kabsa
Kaz gan ulkua unafanya tuanzie hapoMliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!
Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?
View attachment 2772266
Mwenzio ana matatizo na we unamuongezea matatizo πππ€¨π€¨Mkuu naomba nikopeshe hiyo 700,000 Nitakurudishia after 2 weeks, Nina shida sana mkuu, Au hata 500k ikiwezekana
Mwaka 2001 nilipitia hii hali ilikuwa mbaya sana nilijikuta na amaongo wa mawazo kidogo nijiondoe uhai mara 2 lakini Mungu naona alisimama na mimi nikaazimia kuanza upya maishaMliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!
Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?
View attachment 2772266
Wee mkorofi in naturalππππMaishani mwangu, nishafukuzwa kazi mara kadhaa
ikiwemo kupigana, kumtukana bosi, kusingiziwa kuiba, na kukataa amri za kipumbavu...
Pole mkuu.Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!
Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?
View attachment 2772266
Mwaka 2001 nilipitia hii hali ilikuwa mbaya sana nilijikuta na amaongo wa mawazo kidogo nijiondoe uhai mara 2 lakini Mungu naona alisimama na mimi nikaazomia kuanza upya maisha
Maishani mwangu, nishafukuzwa kazi mara kadhaa
ikiwemo kupigana, kumtukana bosi, kusingiziwa kuiba, na kukataa amri za kipumbavu...
Kwa mwendo huo wa kuamin kuuza vitu vya ndan ndio suluhu utauza mpaka pahala pakoLEO tarehe 04/10
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!
Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?
View attachment 2772266
Tarehe05/10
Nimeuza Godoro lasmi naelekea kwetu Tandahimba.
Shida ndo ilianzia huko πππππPia nilishapiga monitor shuleni nikasimamishwa shule na viboko kibao.