Leo nimefukuzwa kazi rasmi

Leo nimefukuzwa kazi rasmi

So we ukitaja Mungu, pole, yatapita, vumilia; unakuwa tofauti na hao? Mbona ni wale wale tu.

Make difference mpe mchongo, pole haisaidii kitu
Mkuu naona umevamia kwenye jambo hulifahamu, kuna jamaa anamuomba mtoa mada amkopeshe hela wakati anajua fika mwenzake kapata na hiyo changamoto ndio maana nikaongea hivyo mkuu
 
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!

Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?

View attachment 2772266
Mwaka 2001 nilipitia hii hali ilikuwa mbaya sana nilijikuta na amaongo wa mawazo kidogo nijiondoe uhai mara 2 lakini Mungu naona alisimama na mimi nikaazimia kuanza upya maisha
 
Kama hukuwa na Servings ni shida zaidi.

Ndiyo maana binafsi hata kama niishiwe kabisa kabisa nikienda kwenye akaunti ya Watoto nakuta kuna akiba ya kutosha mule.

Maana kwenye ile akaunti unaruhusiwa kutoa fedha mara 4 tu kwa mwaka tena kwa kuingia Benki ndani na sio kwenye ATM 🏧
 
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!

Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?

View attachment 2772266
Pole mkuu.

Tuliza akili kwanza wakati huu.
Kaa na mkeo muangalie hiyo hali. Ukikurupuka tu hata hiyo mia 700 haitoboi mwezi...

Mlango mmoja ukifunga mwingine ufunguka.

Una taaluma gani au ulikua unafanya kazi gani?
 
mbona kujiajiri kunalipa mkuu kama mimi saivi nalima uyoga mbaya kabisa
 
LEO tarehe 04/10
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!

Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?

View attachment 2772266



Tarehe05/10
Nimeuza Godoro lasmi naelekea kwetu Tandahimba.
Kwa mwendo huo wa kuamin kuuza vitu vya ndan ndio suluhu utauza mpaka pahala pako
 
Back
Top Bottom