Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Yaani kuna watu wajuaji Ile mbaya we mvumilie tu jua kabisa sio watu wote ufahamu wetu tunafanana
So we ukitaja Mungu, pole, yatapita, vumilia; unakuwa tofauti na hao? Mbona ni wale wale tu.
Make difference mpe mchongo, pole haisaidii kitu