Leo nimegundua asilimia kubwa ya mashabiki wa Man United wanashida sana

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5

Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011

Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
 
Kibabu fegi kwanza muhuni sana, alikuwa nanopportunity ya kumpendekeza pep kama mrithi wake pale old trafford akampa pande ndugu yake moyes. Yote hiyo aliogopa pep atakuja kuvunja records zote pale olld traford
 
Kahuni mno
 
Pep sidhani kama angeiweza man,pep anataka uwe na hela
 
Wangetoa tuu unadhani hao makocha wa njaa.
Wale wenzetu wakija kwenye timu walishakubaliana mambo kadhaaa na pep ni high achiever angewapa masharti tuu
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kibabu fegi kwanza muhuni sana, alikuwa nanopportunity ya kumpendekeza pep kama mrithi wake pale old trafford akampa pande ndugu yake moyes. Yote hiyo aliogopa pep atakuja kuvunja records zote pale olld traford
Kwenye list ya watu wa kumrithi babu fergason majina ya gadiora na klopp yalikua juu ya jina la moyes lakini hao wawili wa kwanza walikataa kumrithi mzee fergason.
 
Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5

Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011

Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
Inawezekana kabisa uyo shabiki kuwa sahihi. Inategemea na hoja zake tu.
 
Wangetoa tuu unadhani hao makocha wa njaa.
Wale wenzetu wakija kwenye timu walishakubaliana mambo kadhaaa na pep ni high achiever angewapa masharti tuu
Bayern walimuona mdwanzi,pep uwe na hela,si unaona timu majeruhi wengi anavyizabuliwa,wachezaji alio nao ukimpa Wenger anakaza
 
Wenger hamna kitu ukiondoa kwenda unbeaten hamfikii pep.
Pep mtu bwana miaka minne anashinda ligi huyo sio wa kawaida. Its only natural that this time round they are not performing.
 
Kwenye list ya watu wa kumrithi babu fergason majina ya gadiora na klopp yalikua juu ya jina la moyes lakini hao wawili wa kwanza walikataa kumrithi mzee fergason.
Walikataa itakiwa walinua kibabu fegi atabakia hapo na itaharibu utendaji wa kazi
 
Wenger hamna kitu ukiondoa kwenda unbeaten hamfikii pep.
Pep mtu bwana miaka minne anashinda ligi huyo sio wa kawaida. Its only natural that this time round they are not performing.
Anashinda ligi kwa kikosi gani!?..wenger umpe kila mchezaji anayemtaka, unbeaten zinakua kila siku
 
Unajua Fergie aliikuta man UTD kwenye Hali gani na guardiola aliikuta city kwenye Hali gani?
 
Back
Top Bottom