Pep sidhani kama angeiweza man,pep anataka uwe na helaKibabu fegi kwanza muhuni sana, alikuwa nanopportunity ya kumpendekeza pep kama mrithi wake pale old trafford akampa pande ndugu yake moyes. Yote hiyo aliogopa pep atakuja kuvunja records zote pale olld traford
Wangetoa tuu unadhani hao makocha wa njaa.Pep sidhani kama angeiweza man,pep anataka uwe na hela
Kwenye list ya watu wa kumrithi babu fergason majina ya gadiora na klopp yalikua juu ya jina la moyes lakini hao wawili wa kwanza walikataa kumrithi mzee fergason.Kibabu fegi kwanza muhuni sana, alikuwa nanopportunity ya kumpendekeza pep kama mrithi wake pale old trafford akampa pande ndugu yake moyes. Yote hiyo aliogopa pep atakuja kuvunja records zote pale olld traford
Inawezekana kabisa uyo shabiki kuwa sahihi. Inategemea na hoja zake tu.Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5
Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011
Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
Bayern walimuona mdwanzi,pep uwe na hela,si unaona timu majeruhi wengi anavyizabuliwa,wachezaji alio nao ukimpa Wenger anakazaWangetoa tuu unadhani hao makocha wa njaa.
Wale wenzetu wakija kwenye timu walishakubaliana mambo kadhaaa na pep ni high achiever angewapa masharti tuu
Wenger hamna kitu ukiondoa kwenda unbeaten hamfikii pep.Bayern walimuona mdwanzi,pep uwe na hela,si unaona timu majeruhi wengi anavyizabuliwa,wachezaji alio nao ukimpa Wenger anakaza
Walikataa itakiwa walinua kibabu fegi atabakia hapo na itaharibu utendaji wa kaziKwenye list ya watu wa kumrithi babu fergason majina ya gadiora na klopp yalikua juu ya jina la moyes lakini hao wawili wa kwanza walikataa kumrithi mzee fergason.
Anashinda ligi kwa kikosi gani!?..wenger umpe kila mchezaji anayemtaka, unbeaten zinakua kila sikuWenger hamna kitu ukiondoa kwenda unbeaten hamfikii pep.
Pep mtu bwana miaka minne anashinda ligi huyo sio wa kawaida. Its only natural that this time round they are not performing.
Nyokoooo.Anashinda ligi kwa kikosi gani!?..wenger umpe kila mchezaji anayemtaka, unbeaten zinakua kila siku
Wenger kocha, guardiola aliwasoma makocha wawili wakati anajifunza ukocha,wenger na cruyff,kisha akaenda kujifungia marekani kupiga gypsum mbinu zaoNyokoooo.