Leo nimegundua kuwa watanzania wengi ni bendera fuata upepo.

Leo nimegundua kuwa watanzania wengi ni bendera fuata upepo.

Kicheko kinaambukiza, jaribu kucheka kwa nguvu mbele za watu, hata kama hawajui unacheka nini, nao ghafla wataanza kucheka, alafu wataulizana baadae...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom