Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Hii ni mimi kabisaa.Watoto naondoka nao. Mama mzinzi hawezi lea watoto wangu..... Hata kama wana miezi nitabeba nasepa nao. Akashitaki atakapopenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wangu alipozinguana na mama angu (ofcz ulikua mchepuko) ali force akanichukua nikiwa just 3months old.Akanipeleka na mama mke wake halali.The gud thing ilikuwa huyu mama mke wa mzee naye alikua amejifungua mwez mmoja ulopita kabla ya kuzaliwa mm so na yy alikua na mtoto mdogo tunepishana mwez.Akanilea vizur sana mpka sasa naanza kuzeeka 😂.
So U R RIGHT