Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Muda huwa ni hakimu wa haki, usiishi mitizamo ya watu kikubwa cha kuhepuka kwenye jamii ni personal interference tu... Huna haja ya kujitetea sana kwenye jamii kwa maisha yako sababu jamii wakikuona mjanja au mshamba bado haina impact kwenye maisha yako, heshimu jamii yako inayokuzunguka ila usilazimishe wakuchukulie katika mtizamo chanya siku zote katika maisha yako binafsi.
Haya mkuu tuishie hapa tu labda hatujaelewana vizuri.