Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ukimfumania mkeo, lazima watoto waende kwa Mkemia mkuu kwa DNA. Hilo halina mjadala. Hivi nikuulize, unaweza kumpeleka mgoni wako mahakamani au polisi? Jibu ni hapana ila unayamaliza mwenyewe. Lakini la maana ni kuhakikisha mwanaume hana marinda. Hapo heshima itakuwepo
Mkuu iyo Ni case kubwa akienda kukushitaki Ni ulawiti uo.
Na je Kama wife alisema Yuko single?