Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Mimi ukizama anga zangu lazima nichukue maamuzi binafsi na ninaelewa sheria ipo maana huwezi niamulia wakati mimi najua uzito na hasa
wewe!!!! narudia tena wee!! si mpaka umuweze?? tafsiri rahisi utakuwa na wewe unatamani kuliwa tu!! unaweza kuta mgoni wako baunsa. utalilia wapi?? anakuunganishia humohumo!!
 
Mimi nikimkuta mwanaume chumbani kwangu ndio ndamkung'uta vibaya sana ila kama mwanamke wangu atanyanyua miguu yake toka kwangu kwenda kufanywa huko atakuwa kajipendea, nikimgusa mgoni wangu ntakuwa nimemuonea sana.
Inawezekana mkeo kamwambia hana mume,ukimkung'uta utakuwa unamuonea,njia nzuri ni kuwapiga picha tu kwa ajili ya ushahidi halafu unamwambia mkeo aondoke na huyo mtu wake,kwisha habari.
 
Sasa kama mkeo niliishi nae ghetto miaka mitatu ya chuo. Unafikiri kumzalisha na hio pete kidoleni vitatuzuia kufanya Recap 😸?
Hebu kuwa makini buroo!
 
Mimi nikimkuta mwanaume chumbani kwangu ndio ndamkung'uta vibaya sana ila kama mwanamke wangu atanyanyua miguu yake toka kwangu kwenda kufanywa huko atakuwa kajipendea, nikimgusa mgoni wangu ntakuwa nimemuonea sana.
Upon sahihi sana
 
Kuna jamaa aliwahi kumfumania mke wake yuko na jamaa chumban kabsa wamevua nguo
Jamaa akampigia makofi yule mtu alie mgongea mke wake akampongeza alaf akawaacha bila kuwagusa

Yule dogo alihama mkoa akakimbia mbali sana na yule mke wa jamaa alikimbia akarudi kwao, had Leo hii akiambiwa arudi kwa mume wake hatak wala hatak hat kuonana na mume wake
 
Sasa kama mkeo niliishi nae ghetto miaka mitatu ya chuo. Unafikiri kumzalisha na hio pete kidoleni vitatuzuia kufanya Recap 😸?
Hebu kuwa makini buroo!
Usemayo ni kweli kabisa, lakini je, ikikutokea wewe umeoa halafu ukagundua kuwa mkeo amechepuka (Achilia mbali kuzaa) na x wake walioishi pamoja miaka mitatu chuoni halafu mkienda mahakamani akulipe faini unaona adhabu hiyo inatosha!?
 
Nilichofurahi huu uzi wanaume mmeutendea haki. Ukiondoa wachache walioleta masihara.

Kuna mwaka sikumbuki nimmwaka gani, kulikuwa na kauli mbiu ya...

“Mwanaume ni Kiini cha Mabadiliko”.

Mwanaume akibadilika kwenye nyanja zote jamii itabadilika pia.

Mwanaume ni kichwa (kitaswira kichwa kina macho, hivyo akipofuka basi famili itatumbulia mtoni), ni taa, ni mfano wa kuigwa kwa familia yake.
 
Ahsante Dada!! Sasa naomba unisaidie. Kwa mfano wewe ukimfumania mumeo yupo na mwanamke mwingine wakifanya mapenzi na ukaamua kuwachukulia hatua kisheria Mahakamani na yule Mwanamke akaamuliwa akulipe faini, unaona hiyo adhabu inatosha?
 
Sipendagi ugomvi rapsha majibizano na vurugu.

Fumanizi huleta yote hayo zaidi ya hayo huleta sononeko moyoni kuumia moyo kujaa chuki afya ya akili kuzorota na kuanza kuchukia baadhi ya watu kama vile ndo kisababishi cha mpenzi wako kuchepuka.

Sijui ya kwenye ndoa ila nikimkuta mpenzi wangu na mpenzi mwingine sitaki hata ajue kama nimejua.

Namuacha kimyakimya, kwanza nafurahia sana kukaa mwenyewe. Am more happy than when am related.
 
Ahsante kwa mawazo na muda wako, Samahani kama hutojali naomba kujua umri wako, pengine ulishawahi kuwa na ndoa ukaumwizwa na kukata tamaa jumla (usiogope tunatumia akaunti bandia) na wala siyo kwa nia mbaya.
 
Ajari kazin usjar mkuu yatachipua tena Kama kucha zinavyoota tehetehe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haya maneno ni ya busara sana kwa sasa (ikiwa halijakukuta), kwa maana mapenzi ni hisia (usifanye mchezo na kupenda). Lakini pia binadamu tunabadilika yawezekana wakati namuoa alikuwa ametulia ila baada yakuishi na kuzaa watoto watatu kakutana na walimwengu wamembadilisha.

Kitu kingine unapoamua kuachana na mke au mume usijifikirie wewe tu, fikiria pia na watoto watakapotengana na mama au baba yao malezi yao yatakuwaje. Usitamke kuacha mke kama vile ni kwenda chooni kutoa taka mwili (siyo rahisi kiivyo).
so unaona ni bora kuishi na mke/mwanamke uliyemfumania kisa watoto......elewa ndoa iko katika moyo...tena moyo wa ndani...so usjidanganye na kujitesa kisa watoto......maisha ni ONCE,....elewa kwanza mwanamke aki cheat.....keshakuchoka kabisa, tofauti na sisi wanaume ambao wengi ni asili.....umemfumania na mna watoto bora ukae mbali....maana ni fedheha ya kutosha....akichelewa kurudi unajua katoka kugongwa , na njemba unaifahamu vema......fumania uteletee mrejesho
 
Back
Top Bottom