Amani mtaipata siku mkitambua kuwa wewe na mke wako Si mwili mmoja,kila mtu ana maamuzi yake na kila mtu hufanya maamuzi akiwa na akili timamu,acha kuumia juu ya mwanamke,nakili ni kweli mke anauma lakini isifikie kiasi cha kutoa uhai Wa mwanamme mwenzako kisa mke .
Waacheni wake zenu watumie miili watakavyo,ukitaka kuepuka haya acha kuoa kabisa au umba mwanamke Wa udongo ndo awe mkeo maana huyu utampelekesha utakavyo.
Binafsi naamini kuoa mwanamke used tena alitetumika kwa mabwana zaidi ya watano amini nakwambia watatu kati yao wakikutana lazima wapigane fimbo na mkeo, Mimi hili nalijua na siwezi kulipa nafasi ya kuumiza moyo wangu,
Nilisoma na wadada wawili ambao sasa hivi wote ni watumishi Wa serikali na wote wana mishahara yao,madada hao nilisoma nao mmoja kidato cha nne, mwingine kidato cha tano na sita, wadada hawa walikuwa wapenzi wangu kwa vipindi hivyo,baadae kama mjuavyo mapenzi ya shuleni ni kama mapenzi ya melini,mkishuka kila mtu na njia yake,
Nimepotezana nao kwa muda mrefu sana,cha ajabu kila mmoja alinitafuta na kuniambia ameolewa na wako na familia zao,cha ajabu wote walilalamika kunimis na kuniahidi kunipa ikiwa nitakuwa tayari,can you imagine mtu aliyeolewa anaongea hivi na X wake? Nilichoka kiasi cha kuwashauri vijana ni kheri kutokuoa ikiwa huna roho ya uvumilivu.
Nilikaa na kuwaza kuwa haya yanayofanywa na hawa wanawake hata kwangu yanafanyika,maana mke wangu kwa hesabu za haraka haraka maboyfriend wake ninaowajua ni watatu,na wote hawakuacha kwa vurugu,lakini kamwe siwezi kuumiza moyo wangu kwa maamuzi ya mtu mzima kwenye akili timamu,yenye afanye sana tu nikijua ndo mwisho Wa safari yetu,ni bora kila mtu ashike hamsini zake kuliko kutaka kudhuru my fellow man eti kisa papuchi.