Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Niliwahi mweleza mwenza .
Me sina solution tofauti na kuwamaliza wote wawili.

Nashukuru alinielewa vizuri.
Haha drama
unamaliza wote wawili as if ni maembe mtini au?
Human life is placed at very high value , to take it comes with it very high costs too.
Uuwee watu wawili halafu we mwenyewe unabaki wapi baada ya tukio hilo ? Worth it? , Yaani niharibu mipango yangu amabayo inaweza kunifanya hadi nichakate papuchi za kiarabu kwa ajili ya kumfumania mke? Hell no
 
Ni Kwanini tunaamini kwamba utakayemfumania atakuwa dhaifu uweze kumpiga au kumjeruhi?unaweza kufumania na ukala kipigo chap chap.

Nilishuhudia jirani yangu hapa Tabata alitoka ofisini kwake mchana kwenda nyumbani akagundua mkewe yuko na kidume ndani,jamaa alokuwa ndani akafungua mlango akampiga mwenye mke ngumi za maana akazimia.Mgoni akasepa bila rapsha na point zote
 
Binafsi siombi nimfumanie mke wangu ,bali ikitokea nikamfumania mgoni wangu nitampa sharti moja tu,nitamwagiza mke wangu ampikie ugali wa kushiba kisha nitahitaji mgoni wangu ale wote akimaliza nitamuomba aondoke na nitamuamuru mke wangu amsindikize,hakika sitotoa adhabu yoyote ile kwa mke au mgoni wangu na sitohoji chochote juu ya tukio lililotokea
 
Sasa mkuu pressure unatoa wapi kwenye mambo petty namna hiyo..
Hiyo life tu ni stress tosha uje uhangaike kufikiria ma x wa mke wako na wanaomendea kwa sasa... ... .
Embu fikiria
1. Kazi
2.Biashara
3.Kutenganishwa kwa kifo cha ghafla
4.Mambo ya jamii
5.Uchumi wa familia
6.Magonjwa
Bado uwaze na kuwazua kuhusu mapenz nk... just do it for funny mzee.. core business zinayumba kwa kufikiria mke ni wa muhim kumbe yeye anakuchukulia huna umuhim wowote zaid ya kumpa mahitaji tu
Pressure lazima tu mkuu hata km una stress za maisha lakini mke akingua lazima uyumbe zaidi ndo maana tunaambiwa jitahdi kutafuta mwenza sahihi.
 
Chief!! Usidanganyike na bikra maana hata hao wanaochepuka zamani walikuwa bikra, Bikra siyo guarantee ya kutochepuka!!
Mm niliishi na nilie kuta hana bikira kwa kweli nilikua sina imani san ila kwa huyu nimeshazaa nae watoto watatu hata wakija mchakachua haiumi sana km ww ukute makapi
 
Pressure lazima tu mkuu hata km una stress za maisha lakini mke akingua lazima uyumbe zaidi ndo maana tunaambiwa jitahdi kutafuta mwenza sahihi.
Kwa sisi wakatoliki ukioa umeoa.. na sisi tulio busy kuingia kwenye drama za kununua ndoa ndio hatuwezi kabisa mkuu... btw kwani tunaish miaka mingap duniani hapa mzee?
 
Ndoa sio ya kuingia kichwa kichwa , kuoa kila Siku tunaambizana humu
Haya mambo ya kufumaniwa na kufumania ,ni vitu inatakiwa uvipime haswa kama utavuweza au hutoviweza ukipata jibu muafaka. Ndo ufanye maamuzi ya kuoa.
Wakati jamaa kamkata masikio mwenzake kwa kufumania ukute na mji kashaukimbia maana ni jinai ndo itamfuata , haya umefumania umemkata masikio mgoni , unakimbia mji na kumuacha mkeo akitanua na umalaya wake .

Ukiona mkeo hajatulia njia sahihi kabisa ni kumuacha aendelee na umalaya wake .tafuta aliyetulia.
Duniani kazi sana..kuna uzi wa ndugu yetu Ricky boy kule nilijaribu kuupitia ndani ya dk 12 tuu nikalog off

Umeshauri vizuri na pia kumchunga mke/mume moja ya kazi ngumu sana! Anakojozwa kwenye kona tuu ndani ya dk 8 biashara inaisha mwanaume huna hili wala lile.

Kwa mwezi kashadungwa zaidi ya mara 2
 
Mwanamke ukigundua anatoka nje wewe wala usipanic jipe muda tu wa kushusha hasira kimya kimya.

Then taratibu anza kuweka mipango ya kuhama na kupata mji mpya, tafuta mwanamke kimya kimya, mjulishe kinachoendelea, na upange nae life.... Piga mimba anzisha familia kimya kimya....

Mambo yakikaa vema mjulishe mke wa sasa kuwa unafanya mpango wa kuoa na unahama hapo. So nyumba aidha unapangisha au uanaiuza unahamia mji wako mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maamuzi ya busara sana.
 
Hata ukiua wote hmn wa kukufanya kitu, hata huyo aliesema maswala ya faini ukimt*mbea hlf umpe fine hzo milion 3 sidhani kama atkubali, ila sipendi kuongelea wenzangu .

Mimi ukizama anga zangu lazima nichukue maamuzi binafsi na ninaelewa sheria ipo maana huwezi niamulia wakati mimi najua uzito na hasara ya kufinyiwa hapo lazima nihakikishe umeumia.

Corona ipoo chukua tahadhali.
Kwani yeye ndiye aliyeandika hizo sheria?nasema hivi ni ujinga mkubwa sana, kumfumania mke wako, na kumuua mgoni wako, hapo ambaye hana akili ni mke wako!!yaani ukafie jela kisa mwanamke?!!mimi kama ni ndugu yako, hutaniona nakuja kukusalimia magereza!!kutokana na upumbafu ulioufanya!!mala mia ingekuwa umekula miaka kwa ujambazi, ningeweza sema labda kama ungefanikiwa ungeweza nikumbuka, lakini papuchi hapana!!!
 
Ila mke anauma jamani ukute jamaa limejipinda linamfokoa [emoji31][emoji31][emoji31]Lazima tu jambo hili lita kuasiri kisaikolojia.Wake zetu wajaribu kujistiri km hatosheki na ww bora awe muwazi tu kuliko akuumize moyo kwa kufanya ujinga huu bila woga.
Eti jamaaa anamfokoa 🤣🤣🤣🤣
Hatari tena ukute kampindisha style ya mbuzi kagoma kwenda jamaa anapiga takle za ukweli.

Jamani wanawake sio wakuwaamini...tuishi nao tukiwa tunajua kuwa wao kugegedwa ni kawaida tuu.
 
Ndoa sio ya kuingia kichwa kichwa , kuoa kila Siku tunaambizana humu
Haya mambo ya kufumaniwa na kufumania ,ni vitu inatakiwa uvipime haswa kama utavuweza au hutoviweza ukipata jibu muafaka. Ndo ufanye maamuzi ya kuoa.
Wakati jamaa kamkata masikio mwenzake kwa kufumania ukute na mji kashaukimbia maana ni jinai ndo itamfuata , haya umefumania umemkata masikio mgoni , unakimbia mji na kumuacha mkeo akitanua na umalaya wake .

Ukiona mkeo hajatulia njia sahihi kabisa ni kumuacha aendelee na umalaya wake .tafuta aliyetulia.
💯
 
Amani mtaipata siku mkitambua kuwa wewe na mke wako Si mwili mmoja,kila mtu ana maamuzi yake na kila mtu hufanya maamuzi akiwa na akili timamu,acha kuumia juu ya mwanamke,nakili ni kweli mke anauma lakini isifikie kiasi cha kutoa uhai Wa mwanamme mwenzako kisa mke .

Waacheni wake zenu watumie miili watakavyo,ukitaka kuepuka haya acha kuoa kabisa au umba mwanamke Wa udongo ndo awe mkeo maana huyu utampelekesha utakavyo.

Binafsi naamini kuoa mwanamke used tena alitetumika kwa mabwana zaidi ya watano amini nakwambia watatu kati yao wakikutana lazima wapigane fimbo na mkeo, Mimi hili nalijua na siwezi kulipa nafasi ya kuumiza moyo wangu,

Nilisoma na wadada wawili ambao sasa hivi wote ni watumishi Wa serikali na wote wana mishahara yao,madada hao nilisoma nao mmoja kidato cha nne, mwingine kidato cha tano na sita, wadada hawa walikuwa wapenzi wangu kwa vipindi hivyo,baadae kama mjuavyo mapenzi ya shuleni ni kama mapenzi ya melini,mkishuka kila mtu na njia yake,

Nimepotezana nao kwa muda mrefu sana,cha ajabu kila mmoja alinitafuta na kuniambia ameolewa na wako na familia zao,cha ajabu wote walilalamika kunimis na kuniahidi kunipa ikiwa nitakuwa tayari,can you imagine mtu aliyeolewa anaongea hivi na X wake? Nilichoka kiasi cha kuwashauri vijana ni kheri kutokuoa ikiwa huna roho ya uvumilivu.

Nilikaa na kuwaza kuwa haya yanayofanywa na hawa wanawake hata kwangu yanafanyika,maana mke wangu kwa hesabu za haraka haraka maboyfriend wake ninaowajua ni watatu,na wote hawakuacha kwa vurugu,lakini kamwe siwezi kuumiza moyo wangu kwa maamuzi ya mtu mzima kwenye akili timamu,yenye afanye sana tu nikijua ndo mwisho Wa safari yetu,ni bora kila mtu ashike hamsini zake kuliko kutaka kudhuru my fellow man eti kisa papuchi.
Upo sahihi kabisa. Watu wengi wapo blinded, wanashindwa kuona uhalisia wa tabia ya binadamu. Likitokea jambo wanajifanya too surprised! Unataka kuadhibu kosa la ugoni kama kosa la kufisha kumbe ni tabia na asili ya wanadamu tu, mkeo kakubali mwenyewe hajabakwa unataka umue mwenzio au kumfanyia mateso ya kinyama yasiyoelezeka. Hebu tuwe na utu wazee, wakati mwingine anayehukumu mgoni wake unakuta naye ni mchepukaji mzuri tu.
 
Haya maneno ni ya busara sana kwa sasa (ikiwa halijakukuta), kwa maana mapenzi ni hisia (usifanye mchezo na kupenda). Lakini pia binadamu tunabadilika yawezekana wakati namuoa alikuwa ametulia ila baada yakuishi na kuzaa watoto watatu kakutana na walimwengu wamembadilisha.

Kitu kingine unapoamua kuachana na mke au mume usijifikirie wewe tu, fikiria pia na watoto watakapotengana na mama au baba yao malezi yao yatakuwaje. Usitamke kuacha mke kama vile ni kwenda chooni kutoa taka mwili (siyo rahisi kiivyo).
Naomba nisisitize kuacha mke si jambo jepesi.
 
Haha drama
unamaliza wote wawili as if ni maembe mtini au?
Human life is placed at very high value , to take it comes with it very high costs too.
Uuwee watu wawili halafu we mwenyewe unabaki wapi baada ya tukio hilo ? Worth it? , Yaani niharibu mipango yangu amabayo inaweza kunifanya hadi nichakate papuchi za kiarabu kwa ajili ya kumfumania mke? Hell no

Ndio maana kuna mdau juu kasema watu wanaohangaika na mapenzi ni wale masikini. Kiuhalisia anachokiongea huyu jamaa ni kwamba yeye maisha yake yapo mikononi kwa mke wake. Kwamba akimfumania tu, huo ndio unakua mwisho wa maisha ya wote watatu (anaua mke na mgoni na yeye anaenda kufia/kuozea jela!)

Kwa mtu ambae una mipango ya maana,una watu wanaokutegemea, unaheshimika, una miradi ya kusimamia, una hela za kula maisha mjini hapa, unajua unaweza kupata mwanamke yoyote unaemtaka, huwezi kuwa na akili ya kipumbavu kama hiyo kamwe.
 
Mie sintomfanya chochote mgoni wangu sema ntampiga tukio ambalo hatoamini maisha yake mixer kumla hata mama yake mzazi
 
Mwanamke ukigundua anatoka nje wewe wala usipanic jipe muda tu wa kushusha hasira kimya kimya.

Then taratibu anza kuweka mipango ya kuhama na kupata mji mpya, tafuta mwanamke kimya kimya, mjulishe kinachoendelea, na upange nae life.... Piga mimba anzisha familia kimya kimya....

Mambo yakikaa vema mjulishe mke wa sasa kuwa unafanya mpango wa kuoa na unahama hapo. So nyumba aidha unapangisha au uanaiuza unahamia mji wako mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya ndoa ni magumu kwa kweli,Huyo Mpya unaemuoa mkishazoeana naye atagongwa nje tena,yani wanawake kugongwa nje imekuwa kama fashion fulani.
 
Mwanamke ukigundua anatoka nje wewe wala usipanic jipe muda tu wa kushusha hasira kimya kimya.

Then taratibu anza kuweka mipango ya kuhama na kupata mji mpya, tafuta mwanamke kimya kimya, mjulishe kinachoendelea, na upange nae life.... Piga mimba anzisha familia kimya kimya....

Mambo yakikaa vema mjulishe mke wa sasa kuwa unafanya mpango wa kuoa na unahama hapo. So nyumba aidha unapangisha au uanaiuza unahamia mji wako mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wakati huo utakuwa unaendelea kumla mke wa ndoa au unamwambia tu aendelee na mchepuko wake?
 
Back
Top Bottom