Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Watoto naondoka nao. Mama mzinzi hawezi lea watoto wangu..... Hata kama wana miezi nitabeba nasepa nao. Akashitaki atakapopenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni mimi kabisaa.
Mzee wangu alipozinguana na mama angu (ofcz ulikua mchepuko) ali force akanichukua nikiwa just 3months old.Akanipeleka na mama mke wake halali.The gud thing ilikuwa huyu mama mke wa mzee naye alikua amejifungua mwez mmoja ulopita kabla ya kuzaliwa mm so na yy alikua na mtoto mdogo tunepishana mwez.Akanilea vizur sana mpka sasa naanza kuzeeka 😂.
So U R RIGHT
 
Gari na Mke ni vitu viwili tofauti sana. Ukioa Mwanamke "used" maana yake ni kwamba wewe hauna "agano" lolote na Mwanamke huyo kwani tayari alikwisha fanya agano la "damu" na Mwanaume mwingine. Hapo hakuna tofauti na kuwa umeoa Mke wa "mwenzako".

Bikra ina maana kubwa sana ndugu yangu, MUNGU hakukosea kumuumba Mwanamke na kumuwekea "Bikra". Watoto wa MUNGU huyaelewa mambo ya MUNGU, wasiokuwa watoto wa MUNGU kamwe hawawezi kuelewa mambo ya MUNGU.
 
Ukifumania njia bora ni kumuacha mke aendelee na maisha yake na mgoni wako na usiwadhuru maana unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa kuliko hilo la kufumania.
Ila kwa mimi binafsi na hasira zangu ninavyojijua! Nitaondoka na kichwa cha mgoni na bado roho ikiniuma na kuona bado sijamfanya kitu.
 
Huyu mwanamke ama mkeo umekutana nae baada ya kuishi hapa duniani miaka kadhaa, iweje uchukue hatua itakayofanya ukae Jela maisha yako yaliobaki wakati Unaweza ukaachana nae halafu ukainjoy maisha kama kawa.
Tatizo linakua watoto, wazazi wakiachana asilimia kubwa huathiri maisha ya watoto, wengine huamua kuachana ndani kwa ndani lakini watoto wasijue mpaka wakifikia umri ambao halitakua na uwezo wa kuwaathiri kwa kiasi kikubwa.
Imeandikwa hasira hukaa moyoni Mwa mpumbavu.
Haiwezekani eti mimi nipambane kujiweka fresh na kufurahia nchi niliyopewa na Mola halafu nikuuwe wewe kwasababu eti umefanya mapenzi na mke wangu, akili imeisha fanikiwa kutawala mwili siku nyingi, ntamdhuru mtu kwa lengo la kujilinda tu na sio kwa sababu nyingine yoyote isiyolipa.
 
Kabisaaaah nakazia hapa.
 
Mimi nikimkuta mwanaume chumbani kwangu ndio ndamkung'uta vibaya sana ila kama mwanamke wangu atanyanyua miguu yake toka kwangu kwenda kufanywa huko atakuwa kajipendea, nikimgusa mgoni wangu ntakuwa nimemuonea sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na

Kama mumeo ni malaya je??
Mens are polygamist by nature , lifahamu hilo , mwanaume akikwambia ana mwanamke mmoja ni mnafiki
Kama unavyoona dume la moja la beberu linavyoweza kutamba na zizi la majike , au jogoo mmoja anayoweza ku deal na watetea mtaani ndio typiclal definition ya mwanaume .
Tofauti tu ni kuwa wanaume wana control ya umalaya .
 
Ndiyo utetezi wako huo?malaya ni malaya tu awe me au ke
 
Ndiyo utetezi wako huo?malaya ni malaya tu awe me au ke
Mkuu uzi uliuelewa vizuri kweli? Malaya ni malaya lakini swala hilo linabeba uzito tofauti kati ya mwanamke na mwanaume .
Nimekutolea mfano wa beberu ili ujue umalaya wa mwanaume unavyopata support ya jamii husika, haishangazi mwanaume kuwa malaya . Hata hao wanosema hapa akimkamata mgoni wake atamfanya hivi au vile nao ukute wanawana wanawake kibao.
 
Hii mentality ni ya kupuuzwa tyuuh. Imeshapitwa na wakati.
 

Ahsante kwa maelezo yako mazuri ila bado hujajibu swali, Je, hii sheria ya faini kwa waliofumaniwa na wake/waume za watu inatosha?
 
Ulitumia busara ya hali ya juu, ukipata nafasi mshukuru MUNGU kwa kukupa busara hiyo maana uliepusha pia kujiepusha na mengi. Sasa turudi kwenye hoja ya msingi. Je, Hii adhabu ya faini kwa wazinzi inatosha?
 
Sipo mbali na maneno yangu ya mwanzo kuwa wewe bado ni mvulana au bado una mawazo ya kivulana. Agano ni makubaliano juu ya jambo fulani, hivyo agano huwa linatanguliwa na kauli (maana hata dunia na vyote vilivyomo viliumbwa kwa neno) pia unapoweka agano hutakiwi kukawia kuliondoa, hivyo basi kutoa bikra itakuwa agano ikiwa kuna maneno yenye kunuiza hicho kitendo yalitamkwa, kinyume na hapo hakuna agano. Pia uthamani wa kitu chochote unatokana na jamii husika lakini haupo katika kitu kile. hivyo basi kusema ukioa mwanamke asiye na bikra ni sawa umeoa mke wa mtu ni kitu ambacho hakina ukweli (anakuwaje mke wa mtu ili hali hakuna ndoa)

Kuna baadhi ya jamii bikra siyo kipaumbele na hazina thamani katika jamii yao, mfano Wahindi mtoto wa kike anapoanza kukua huingizwa kidole cha mwisho katika uchi wake na huendelea hivyo mpaka anapokuwa ili atakapoowa (Wanawake wa kihindu wao ndio huoa na wanaume huolewa) asimpe tabu mumewe.

Ikiwa mwenza uliyenaye ni mtulivu na muaminifu, uaminifu huo hautokani na kumtoa bikra bali unatokana na malezi mazuri aliyoyapata katika makuzi yake, maana hata ndo za waliokutwa na bikra zinavunjika kwa uchepukaji eidha wa mume au mke na hao mahakaba unaowaona barabarani walikuwa bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…