Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Hata kumfunga jela hakutasaidia kuondoa ukweli kwamba mkeo alimpenda jamaa, akampa. Ni kusamehe tu
Kama sitaki kusamehe je? (maana kusamehe siyo amri ni maamuzi ya mtu)
 
Hii mentality ni ya kupuuzwa tyuuh. Imeshapitwa na wakati.
Tofautisha kati ya mentality na reality, uzi wenyewe. Unasadifu kuwa jamii haitajrajii mwanamke kuwa na affairs nyingi nyingi, huyo anayefumania mwenyewe usikute ana michepuko kadhaa ,
 
Tofautisha kati ya mentality na reality, uzi wenyewe. Unasadifu kuwa jamii haitajrajii mwanamke kuwa na affairs nyingi nyingi, huyo anayefumania mwenyewe usikute ana michepuko kadhaa ,
Kwahiyo reality ni ipi? Ya mwanaume kuwa Malaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
 
Kwahiyo reality ni ipi? Ya mwanaume kuwa Malaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
Mama
Kuwa na mchepuko hapo mtaani kwenu halafu mumeo naye awe na mchepuko, then utajua jamii itakuchukuliaje
Men can get away with it easily sio women, au ukiweza zaa na houseboy uone kama itachukuliwa uzito sawa na mumeo akizaa na house girl .
 
Hizo na fikra na mtazamo wako, wala hazina mantiki yeyote.
 
Ahsante kwa majibu yako mazuri, unapendekeza adhabu ipi kwa watakaokutwa na hatia?
Binafsi sitakaa kupigana kisa mapenzi au kisa mwanamke never. Matatizo ya maisha nilonayo yananitosha so siwez hata kushauri adhabu ya kutoa zaid ya kuachana na manzi ufanye menngine
 
si mpaka umuweze huyo Mgoni wako?? unaweza kuishia kuunganishwa na huyo mkeo wote mkavishwa Khanga!! mkafanywa barabara mpaka ukatia akili!!!! unapewa na hela kabisaaa!! hata gari ukitaka ila uendelelee kutoa mchezo!! na kesi inaunguruma!

Mahakamani mke anakugeuka kuwa ndo michezo yenu!! wewe ulimtuma aende kwanza na wewe huku ukawa unafanywa, mkibisha kithibiti picha kipo! muheshimiwa Hakimu!

siku hizi usijifanye mwamba kukamata mtu ugoni wanzako huwa wanajiandaa kukutafuna wewe!! wanawake wenyewe hawa wa mjini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…