IKARAHANSI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 398
- 479
- Thread starter
- #201
Chief! Naomba ufunguke bila woga ili tuelimike, manaa hapa tunatumia akaunti bandia.Nina experience ya hii kitu aisee, sitoisahau hata miaka mingi Sana ikipita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief! Naomba ufunguke bila woga ili tuelimike, manaa hapa tunatumia akaunti bandia.Nina experience ya hii kitu aisee, sitoisahau hata miaka mingi Sana ikipita.
Kama sitaki kusamehe je? (maana kusamehe siyo amri ni maamuzi ya mtu)Hata kumfunga jela hakutasaidia kuondoa ukweli kwamba mkeo alimpenda jamaa, akampa. Ni kusamehe tu
Tofautisha kati ya mentality na reality, uzi wenyewe. Unasadifu kuwa jamii haitajrajii mwanamke kuwa na affairs nyingi nyingi, huyo anayefumania mwenyewe usikute ana michepuko kadhaa ,Hii mentality ni ya kupuuzwa tyuuh. Imeshapitwa na wakati.
Hiyo ni sheria ya ajab sana nimeishangaa mnooo.Haitoshi n haifaiSasa turudi kwenye hoja ya msingi. Je, Hii adhabu ya faini kwa wazinzi inatosha?
Kwahiyo reality ni ipi? Ya mwanaume kuwa Malaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolTofautisha kati ya mentality na reality, uzi wenyewe. Unasadifu kuwa jamii haitajrajii mwanamke kuwa na affairs nyingi nyingi, huyo anayefumania mwenyewe usikute ana michepuko kadhaa ,
Kwani wewe kiasi gani kinakutosha?Ahsante kwa maelezo yako mazuri ila bado hujajibu swali, Je, hii sheria ya faini kwa waliofumaniwa na wake/waume za watu inatosha?
MamaKwahiyo reality ni ipi? Ya mwanaume kuwa Malaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
Hizo na fikra na mtazamo wako, wala hazina mantiki yeyote.Mama
Kuwa na mchepuko hapo mtaani kwenu halafu mumeo naye awe na mchepuko, then utajua jamii itakuchukuliaje
Men can get away with it easily sio women, au ukiweza zaa na houseboy uone kama itachukuliwa uzito sawa na mumeo akizaa na house girl .
ImagineNgono imempotezea maskio jamaa.
PoaHizo na fikra na mtazamo wako, wala hazina mantiki yeyote.
Chief! Huenda hujanielewa nimeuliza kwa manufaa ya jamii nzima na siyo mimi tu. Hivyo naomba jibu lako lilenge kusaidia jamii!!Kwani wewe kiasi gani kinakutosha?
Ahsante kwa majibu yako mazuri, unapendekeza adhabu ipi kwa watakaokutwa na hatia?Hiyo ni sheria ya ajab sana nimeishangaa mnooo.Haitoshi n haifai
Binafsi sitakaa kupigana kisa mapenzi au kisa mwanamke never. Matatizo ya maisha nilonayo yananitosha so siwez hata kushauri adhabu ya kutoa zaid ya kuachana na manzi ufanye menngineAhsante kwa majibu yako mazuri, unapendekeza adhabu ipi kwa watakaokutwa na hatia?
si mpaka umuweze huyo Mgoni wako?? unaweza kuishia kuunganishwa na huyo mkeo wote mkavishwa Khanga!! mkafanywa barabara mpaka ukatia akili!!!! unapewa na hela kabisaaa!! hata gari ukitaka ila uendelelee kutoa mchezo!! na kesi inaunguruma!Hata ukiua wote hamna wa kukufanya kitu, hata huyo aliesema maswala ya faini ukimchukulia wa kwake hlf umpe fine hzo milion 3 sidhani kama atkubali, ila sipendi kuongelea wenzangu .
Mimi ukizama anga zangu lazima nichukue maamuzi binafsi na ninaelewa sheria ipo maana huwezi niamulia wakati mimi najua uzito na hasara ya kufinyiwa hapo lazima nihakikishe umeumia.
Corona ipoo chukua tahadhali.