Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Safari Park Hotel, Nairobi
133986660.jpg
safari-park-hotel.jpg
 
Huyu jamaa anatafuta attention. Tulikuwa na mpambano kwenye uzi fulani. Kakimbia. Mpotezee tu. Maumivu yakiisha atarudi kwenye hali yake ya kawaida. Ameanzisha thread kwa hasira. Hahahahaha. Mpotezee
Nikimbie upuzi kama huu?😀😀😀
83516697.jpg
 
Achana naye huyu jamaa anatafuta attention. Amekimbia tulikuwa na mpambano naye. Mpotezee atachoka mwenyewe. Haya ni maumivu baada ya kumpiga za mbavu. Hahahaha. Mpotezee
Mbona haujaweka kwikwikwi 😀😀😀ama umeona nairobi sio size dar ulipokua unathani😱😱😱😱😀😀😀😀😀Nipenda venye nimezaa na wewe hadi ukaanza kuleta vilodging na guesthouse Ati ni hoteli😀😀😀
 
Mnapost hotels ambazo mnaishia kuzitazama mitandaoni tu,au hata mkiziona mnaishia kupiga selfie tu...

Tafuteni pesa mjenge zenu...
 
Mbona haujaweka kwikwikwi 😀😀😀ama umeona nairobi sio size dar ulipokua unathani😱😱😱😱😀😀😀😀😀Nipenda venye nimezaa na wewe hadi ukaanza kuleta vilodging na guesthouse Ati ni hoteli😀😀😀
nawewe pia umekimbia battle??😀😀😀😀
leo umekutana na nondo za adabu
 
mombasa has the same number of reviews and only 20 lesser hotels than Dar..but beats dar in vacation rentals.
Capture2.PNG
 
Mnapost hotels ambazo mnaishia kuzitazama mitandaoni tu,au hata mkiziona mnaishia kupiga selfie tu...

Tafuteni pesa mjenge zenu...
hehehe 😀😀😀😀 wanaishi kibera slum mlo mmoja kwa siku😀😀
 
Mbona tz kama umewahi tumia JNIA miaka 4 iliyopita hizo 5 star hotel zao zilikuwa zina serve chips mayai. cha kushangaza zaidi kipindi kimoja niliingia 5 star lakini hamkuwa na maji chooni bana nikaletewa na ka bucket.

Which 5 * hotel!!!?
 
labda nikuulize swali nairobi kuna 5 star hotels ngap???? na unijibu kiakili
Lazizi priemere
Kempinsky vilarosa
Radisson blue upperhill
Sankara hotel Westlands
Intecontinental hotel cbd
Leico regency cbd
Crown plaza upperhill
Hemingways karen
Kama una ubishi nenda google ujifanyie reserch alafu uje
 
Ahsante Collo Mzii. It is a pity Nairobi can beat a coastal city in number of quality hotels.
jaribu kuleta mombasa nikupe zanzibar sasa hvi uone kama haukukojoa wima leo hapa😀😀😀
alafu swali langu hujajibu
 
labda nikuulize swali nairobi kuna 5 star hotels ngap???? na unijibu kiakili
Achana naye. Ni maumivu tu yakiisha atatulia. Hana lolote. Ni psychological issue. Sisi wataalam wa psychology tuna shauri mtu Kama huyo ni kumuacha muda alale akiamka akili zake zitakuwa sawa. Hana lolote na hana la maana zaidi ya kutafuta msaada aweze kujifariji. Ni kama mwanamke akipigwa chini ataanzisha visa tu ili aonekana hajaumia. Hahahaha
 
Back
Top Bottom