Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

..ushamaliza ila hata likiwa jeusi jeusi flani hv nyoroooro sawa tu!
 
Lishangazi maana yake uwe umempiga vita na kumshinda adui njaa😁!

Kama bado unaokoteza hela kwa vizinga kwa kujibebisha kwa waume za watu bado wewe sio lishangazi, ni mhalifu tu kama ilivyo kwa waalifu wengine wanaojipanga maeneo ya Mi Casa, Makuburi na buguruni kimboka.
 
Adui njaa nishampiga kitambo now nimechukua sabbatical nipumzike nipelekewe πŸ”₯πŸ”₯ na vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…