Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

VIjana wa mjini wanaposti misosi hawakawii kuja na nyuzi wanauliza tundu inakaa wapi na mwanaume anamwaga kwa dakika ngapi!
 
Dar es salaam universities_Mihogo.
Udom_Ngano products.
Mbeya & Mwanza_Hawa Wana maisha mazuri angalau.
Haha Mbeya vyakula bei rahisi sana mtu kula mihogo atake mwenyewe tu, kwanza binafsi hakuna mihogo mibaya niliyowahi kula kama ya Mbeya, napenda sana mihogo ila ya kule ilinishinda haki ya nani
 
Haha Mbeya vyakula bei rahisi sana mtu kula mihogo atake mwenyewe tu, kwanza binafsi hakuna mihogo mibaya niliyowahi kula kama ya Mbeya, napenda sana mihogo ila ya kule ilinishinda haki ya nani
Hahahaha, ni vile chakula kipo tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…