Leo nimekumbuka kesi ya Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, ilipelekea mahabusu kugoma kwenda mahakamani siku tano Dar wakidai dhamana yake ifutwe

Achaa utoto,matusi hayaamuliwi kwa kupigwa Chuma kumbuka tunaishi really life na siyo Maisha ya Movie, isije kua zile movie za kimarekani za kupigana risasi hovyo hovyo zimekuharibu,wwe unaamini Chuma ndiyo kila kitu!!
Labda isije tukawa tunabishana watu ambao tunapiga mishe tofauti kati yetu mimi na wewe, nadhani umesoma alichokiandika Hamisi Kigwangala jana kuhusu uaminifu wa watanzania sasa sector ambayo Kigwangala amepigwa sana matukio kiasi kwamba bila mshahara na posho za bungeni angekuwa amefilisika.

Ndizo mimi nazifanya kwahiyo hii sector bila ukatili na roho mbaya haufiki popote, fikiria anakuja mtu yeye mwenyewe bila kuitwa anakuja kukuomba umkopeshe pembejeo au hela kwa ajili ya kilimo unampa kwa wema muda unafika unamkumbusha analeta lugha za kejeli na dharau unadhani watu kama hawa tunamalizana nao vipi mpaka linakuwa fundisho kwa wengine?
 
Hii nchi bhana! Eti hako kabinti kake tayari ni kabunge ka viti maalum kakila posho na mshahara mnono. Mimi Tate Mkuu bado napambama tu na hali yangu huku Usambaani.

Yaani hiyo 2006 wakati kakiwa kabinti kadogo tu, mimi tayari nilikuwa mtu mzima kabisa. ccm Mungu anawaona kudadek zenu. Yaani keki ya Taifa mnatafuna nyinyi wenyewe tu na familia zenu.
 
Sikufichi siku jui hunijui,lakini Kama utanikuta kwenye kitengo Cha ugawaji silahaa,wala sipitishi maombi yako, maana bado hujajua Nini maana ya matumizi ya silahaa za Moto!! Nakupa Siri ya matumizi halali ya kumpiga mtu risasi,ni ikiwa tu na uliye mshoot ana silahaa Kama yako au kukuzidi wwe,hiyo ndiyo tunaiita self defense, hata Mahakama haipingi!!
 
Sasa mtu akitukanwa tu anatumia silaha
Akichukuliwa dem,mke anatumia silaha [emoji1]

Ova
 
Si ndiyo hapo, angetumia nguvu, nafasi yake kumshikisha adabu huyo dereva wa daladala.

Ova
 
Sasa mtu akitukanwa tu anatumia silaha
Akichukuliwa dem,mke anatumia silaha [emoji1]

Ova
Hao ndiyo wale utawasikia huko kitaa na kwenye mabar wanajisifia,"Mimi siku nikipata silahaa hakuna Demu atakae ni kataa,hata Kama ni Demu wa Mtu" kisa bastola yake!![emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu humu enzi za hii kesi......ndio walikuwa wanazaliwa!, na JF INAZALIWA.....

2006 nikiwa na mwaka wa 3 kazini toka PW mining Co. To Placerdome Inc. nikajaaliwa kupata mtoto wangu wa kiume wa kwanza.

Leo hii mwanangu ni member humu Jf....Jf imekuuza!
 
Dogo angekuwa na miaka 50 sasa kama angekuwa hai
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi yule mbunge wa vita maalumu anahusiano naye?
 
Duhh.. kumbe ishapita miaka 17!!
 
Mbaya zaidi walivyosafirisha maiti wanakuja kugundua ni mwanafamilia na mke
 
Alafu alipogongewa na alikoenda kumwaga ubongo Kuna mwendo kitambo Fulani. Haikuwa papo Kwa papo.
Ni kweli kabisa. Yule bwana aliua kwa kukusudia kabisa. (Mtuhumiwa, marehemu Ditopile) alimwambia swahiba yangu, ambae pia alikuwa mtu wake wa karibu kwamba anauhakika nguvu za giza zilitumika kumfanya amuue yule kijana. Kwamba, ni kama vile akili zilimruka. Hakutambua alilokuwa anafanya.
 
Kesi ilipindishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…