Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Angawa wapo wanawake ambao hata wakiwa financially stable wanaheshimu ndoa zao ,ila walio wengi wana kuwa jeuri na kazarau flani hivi kwa wanaume zao, kazalika kwa wanaume vile vile ingawa kwa wanawake mmmmmm anakua don't touch me
Utambiwa mwanaume huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni 🀣🀣🀣🀣
Wenye degree wacha waolewe na wenye degree wenzao sie bodaboda tutaoa hawa hawa fomu foo failure tunatulia kwa amani

Huyu aliyekuja na wazo la kusomesha wanawake kwa kweli nikimkuta mbinguni aisee itakuwa murder in heaven kwa kweli
 
Pole ndugu...
Ila hii story mbona mbona zimekuwa nyingi...
Ni kweli mwanamke akikuzidi tu kipato jitayarishe kuondoka na kuanza maisha mapya. Wanakamilika na kuwa mashetani kamili!
Kumbe mnajua kuwa nimasheta i sasa y mnayafuga mashetani ndani ya nyumba wajameni?
 
Hatari saana
 
Wazee wa ngwasuma a.k.a kataa ndoa wanazidi kuokota points, wanazid kujikita kileleni ..
Upinzani ni mkali sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana nikamwambia tulia kwanza maadam kaz alinipa mimi, sasa kaharibu mwenyewe. Hawa viumbe kuna namna ya kuenda nao hata kama ni kiutani utani πŸ˜‚πŸ˜‚
Anataka haraka kuna wanawake wengine hatuendi hivyo binafsi sipendi kutongozwa hadharani labda uwe utani kama wa bibi na mjukuu, ndo maana kuna pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…