Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Usiongee ukamaliza ndugu.......Hivi naanzaje kuumia kwa ajili ya mtu??
Kwanza nikishaona dalili tu nakufukuza dakika sifuri.
Sivumilii na siko tayari kuumizwa na mtu awaye yeyote.
I am so important and special, kwanza sikuja duniani kulilia vinyeo vya wanawake au miboro ya wanaume. HAPA KAZI TU.
Yaani niliee kabisa??? Mimi? Kwa ajili ya mtu? Hehehee... fyekelea mbali!
Cc: Extrovert Lamomy stress the challengerr The Mongolian Savage adriz Mufti kuku The Infinity. The Stress Challengerr Depal Yohimbe bark Mzee wa kupambania dronedrake Poor Brain fundi bishoo
📌Wanawake wengi wapo na wanaume wasiowapenda ili tu wapate huduma, siku wakijipata wanaenda kutafuta type zao. Pole sana mkuu Kwa kutumika, kuchezewa na kuachwaw
Ulitakiwa usimpe talaka, ungetafuta mwanamke mdogo na mrembi kuliko yeye then akifanya maendeleo nenda mahaksmsni mgawane maliMiaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.
Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.
Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.
Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.
Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa. Kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.
Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!
Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.
Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!
Kwanini nimeleta huu uzi?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki.
Kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu.
Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
Mkuu lakini si amejua kama umeoa?wapi yupo tu huwa anapiga simu eti amenimic namwitikia tu alafu nampotezea kabisa!
Basi mm ndio nmepatwa na tukio sshv wallah ni mwezi sasa bado sijawa sawa kbs muda wote nmefura naskia kulia tu kazi sifanyi nmejaribu kusafiri nkaenda Mwanza lbd nkazubae kdg bado tu hali ya maumivu ipo.Ukipigwa tukio mara moja either la wewe kupigwa au kupiga red card,likitokea next time huwezi babaika.
Ni kama mtu ambaye alisha achwa/acha na Mke/Mme siku akiishi na Mme au Mke halafu akamlete kuchi kuchi lazima kumuacha ni swala la sekunde.
Imekuwaje mkuu? Mapenzi bhuana ukiona ni kama huyo mtu ulieko NAE ana dalili za kuja kukupa gonjwa la moyo kimbiaaaaa vunjika mguu kuliko uvunjike moyo...naogopa sana kuvunjwa moyoBasi mm ndio nmepatwa na tukio sshv wallah ni mwezi sasa bado sijawa sawa kbs muda wote nmefura naskia kulia tu kazi sifanyi nmejaribu kusafiri nkaenda Mwanza lbd nkazubae kdg bado tu hali ya maumivu ipo.
Imebdi nirudi tu Dodoma lbd ipo siku nitakuwa sawa, Kusalitiwa hasa na mwanamke uliekuwa unamuamini na una mpa muda wako na kila kitu aseeh ni tafrani yani unaweza toa machoz na uanamume wako wote.
Jipe mda mkuu utasahau, pia tafuta mdada wa kukuweka bize kidogo ila kua makini usimpe moyoBasi mm ndio nmepatwa na tukio sshv wallah ni mwezi sasa bado sijawa sawa kbs muda wote nmefura naskia kulia tu kazi sifanyi nmejaribu kusafiri nkaenda Mwanza lbd nkazubae kdg bado tu hali ya maumivu ipo.
Imebdi nirudi tu Dodoma lbd ipo siku nitakuwa sawa, Kusalitiwa hasa na mwanamke uliekuwa unamuamini na una mpa muda wako na kila kitu aseeh ni tafrani yani unaweza toa machoz na uanamume wako wote.
Tumekuwa pamoja kwenye mahusiano since 2020 tumepanga kila kitu mwaka huu ndio ilkuwa namuweka ndani kwao wananijua na kwetu anajulkana.Imekuwaje mkuu? Mapenzi bhuana ukiona ni kama huyo mtu ulieko NAE ana dalili za kuja kukupa gonjwa la moyo kimbiaaaaa vunjika mguu kuliko uvunjike moyo...naogopa sana kuvunjwa moyo
Ni suala la muda tu litapona kabisaaaaa tena utakuja kujiuliza ni mimi kweli?...Tumekuwa pamoja kwenye mahusiano since 2020 tumepanga kila kitu mwaka huu ndio ilkuwa namuweka ndani kwao wananijua na kwetu anajulkana.
Tumeishi vzr mno kwa muda wa 3yrs nlikuwa kama nmeoa tu maana nilkuwa nagharamia kila kitu aseeh, shida ilkuja mwez wa 4 tu hapa tumekaa akawa kapigiwa Simu nikaona anaongea kwa wasiwasi sana si ndio nkasema ngoja tuulzane akawa mbishi kusema huyo ni nani nkanyakua Simu nkatazama charting zao nkajua hawa ni wapenzi tena walioshibana kbs.
Kumuulza akawa amekiri ni mtu wake na wako wana date since 2022 aseeh nilichoka na nilishindwa nmfanye nn ,bas bana nlijikaza kiume sana ila maumivu ninayopitia hayaelezeki nlfuta nmba yke akantafuta akidai tuonane anahtaji kunpa namba ya yule jamaa tuzungumze ili nijue ndio ameachana nae ili tuendelee na mipango yetu but hapana nmeumia sana nkiishi nae sitakuwa na amani wala imani nae, aseeh sjui km hili jeraha litawahi kupona.
Pole kwa maumivu ndugu yangu.....lakini maumivu hayo ni ya muda tu...na baadae ya muda kila kitu kitabakia kuwa historia.......Tumekuwa pamoja kwenye mahusiano since 2020 tumepanga kila kitu mwaka huu ndio ilkuwa namuweka ndani kwao wananijua na kwetu anajulkana.
Tumeishi vzr mno kwa muda wa 3yrs nlikuwa kama nmeoa tu maana nilkuwa nagharamia kila kitu aseeh, shida ilkuja mwez wa 4 tu hapa tumekaa akawa kapigiwa Simu nikaona anaongea kwa wasiwasi sana si ndio nkasema ngoja tuulzane akawa mbishi kusema huyo ni nani nkanyakua Simu nkatazama charting zao nkajua hawa ni wapenzi tena walioshibana kbs.
Kumuulza akawa amekiri ni mtu wake na wako wana date since 2022 aseeh nilichoka na nilishindwa nmfanye nn ,bas bana nlijikaza kiume sana ila maumivu ninayopitia hayaelezeki nlfuta nmba yke akantafuta akidai tuonane anahtaji kunpa namba ya yule jamaa tuzungumze ili nijue ndio ameachana nae ili tuendelee na mipango yetu but hapana nmeumia sana nkiishi nae sitakuwa na amani wala imani nae, aseeh sjui km hili jeraha litawahi kupona.
Heeee imagine na umeshasahau hata huyo litapita,Pole kwa maumivu ndugu yangu.....lakini maumivu hayo ni ya muda tu...na baadae ya muda kila kitu kitabakia kuwa historia.......
Sisi sote tulishapitia purukushani na mapenzi......
Mimi niliwahi na mwanamke na date naye napanga kupeleka barua kwao na yeye namshirikisha lakini akaja akanikana kwao na kumpeleka mtu mwingine....na kibaya zaidi huyo mtu mwenyewe ni rafiki yangu kabisa..... unaweza kuona nilipitia machungu kiasi gani.......
Hayo ni moja ya mitihani kwenye maisha......piga moyo konde yatapita.....
Pole sana ndugu.....hakuna ushauri utakao kuponya zaidi ya kuwa mvumilivu
Usifikie huko mkuuMi zamani nilikuwa nikisikiaga zile story za mwanamke kuchinjwa, sijui kuchomwa visu 60 nk. Nilikuwa nawashangaa wanaofanya matukio ka hayo ila Sasa hivi nasema kama hayajakukuta kaa kimya,, mi na upole wangu huu ,nahisi nitakuja kutrend siku moja
Huu ulimwengu una viumbe makatili sana mpaka unajiuliza kuwa na wao wameumbwa kwa mfano wa MUNGU au kuna version nyingine ya wanadamu........Usifikie huko mkuu
Mwanamke mwenyewe ni wa singida tena barmedi😁Pole sana Mkuu, kuna kisa kilimkuta jamaa fulani mwaka 2006 alimchukua Mwanamke tena alikuwa Barmaid akawa anaishi naye jamaa alikuwa analipwa 150,000 tu, sasa akamtafutia kazi za Kuuza duka mjini yule Mwanamke akawa anapata hela maana na dili zilikuwa zinatokea kwenye ishu za kuuza duka. Yule demu alijichanga akanunua mabati na akayasafirisha kwao Singida. Taarifa zilisema kwao kajenga nyumba ya bati, lakini kwa jamaa alikuwa analeta mapicha picha sana mpaka alikuwa anampeleka jamaa yake Polisi na kule Polisi alikuwa anahonga hela yaani jamaa alikuwa ananyanyasika sana na Kipesa alikuwa kazidiwa na yule Mwanamke. Watu wenye roho mbaya wakamtia gundu yule Mwanamke maana alikuwa na dharau sana. Akafukuzwa kazi na Jamaa waliachana. Mara ya mwisho mwaka 2010 yule demu nilimuona Tandale kwa Mtogole anachoma Mahindi.
Hayo ndio mapenzi mkuuTumekuwa pamoja kwenye mahusiano since 2020 tumepanga kila kitu mwaka huu ndio ilkuwa namuweka ndani kwao wananijua na kwetu anajulkana.
Tumeishi vzr mno kwa muda wa 3yrs nlikuwa kama nmeoa tu maana nilkuwa nagharamia kila kitu aseeh, shida ilkuja mwez wa 4 tu hapa tumekaa akawa kapigiwa Simu nikaona anaongea kwa wasiwasi sana si ndio nkasema ngoja tuulzane akawa mbishi kusema huyo ni nani nkanyakua Simu nkatazama charting zao nkajua hawa ni wapenzi tena walioshibana kbs.
Kumuulza akawa amekiri ni mtu wake na wako wana date since 2022 aseeh nilichoka na nilishindwa nmfanye nn ,bas bana nlijikaza kiume sana ila maumivu ninayopitia hayaelezeki nlfuta nmba yke akantafuta akidai tuonane anahtaji kunpa namba ya yule jamaa tuzungumze ili nijue ndio ameachana nae ili tuendelee na mipango yetu but hapana nmeumia sana nkiishi nae sitakuwa na amani wala imani nae, aseeh sjui km hili jeraha litawahi kupona.
Tafsiri yake ni kuwa ili uishi na mwanamke mwenye kipato unatakiwa uishi kama anaishi na mwanamke mwenzake na sio uishi kama mume wake........Hela ndio nguvu zako ndio mamlaka yako. Ukioa mwanamke kama ana kazi mfanye mshikaji wako sana halafu tengenezen bajeti elekezi ya familia. Yaan mnaweza kusema kila mwez tuweke milion 2 chini then mwakan tununue kiwanja tujenge jumba letu la kifahar. Jitahd awe mshikaji kweli kweli na usiwe mtu wa kukariri makosa yake na muda mwingi uwe tayar kusikiliza umbea wake. Wana umbea mwingi kuwa shosti wake na wewe mpe kidogo kidogo. Utaona cku zinaenda. Tumia akili zaid ukiish na mwanamke. Zijue mapema tabia zake ukaziishi accordingly. Muombe Mungu kila wakat
ndiooooooHela ndio nguvu zako ndio mamlaka yako. Ukioa mwanamke kama ana kazi mfanye mshikaji wako sana halafu tengenezen bajeti elekezi ya familia. Yaan mnaweza kusema kila mwez tuweke milion 2 chini then mwakan tununue kiwanja tujenge jumba letu la kifahar. Jitahd awe mshikaji kweli kweli na usiwe mtu wa kukariri makosa yake na muda mwingi uwe tayar kusikiliza umbea wake. Wana umbea mwingi kuwa shosti wake na wewe mpe kidogo kidogo. Utaona cku zinaenda. Tumia akili zaid ukiish na mwanamke. Zijue mapema tabia zake ukaziishi accordingly. Muombe Mungu kila wakat
Mapicha picha yalivyozidi, mshikaji akafunga safari hadi huko mlimani akakaa na wazazi wa mke wake.So ikawaje