Heaven kama heaven
JF-Expert Member
- Nov 27, 2021
- 453
- 788
"Kuchezewa"🤣Hukwenda kudai fidia mali zenu zigawanywe pasu kwa pasu.
Hawa wanajifanya wajanja na werevu na wanawamudu wanaume. Subiria huu mchezo waliouanzisha tutaumaliza sisi wanaume sababu sisi tumechagua kuwa wajinga awali hii, ila kikawaida anayecheka mwanzo hulia mwishoni, anayelia mwanzoni......... (Watamalizia wao).Kuna mshikaji wangu maarufu sana wa mambo ya real estate kwanza mshikaji mjanja wa mjin pesa ipo ana vaa vizur ana gar kali nyumba kali dah juz nimeshangaa analia mtandaoni dem kasepa na watoto kosa alilofanya alimfungulia mkewe saloon na duka la urembo aisee Demu kaona ahame na nyumba kabisa
Sijui uwa wanataka nini hawa dada zetu...
Wazazi wanajitambua ndo maana wana hekima na busaraMapicha picha yalivyozidi, mshikaji akafunga safari hadi huko mlimani akakaa na wazazi wa mke wake.
Wazazi baada yakuona ndoa ya mtoto wao iko matatani, wakamfungia safari pia.
Binti akaelezwa facts zakutosha, licha ya msaada mkubwa aliokuwa anawapa wazazi wake. Wale wazee wakamkumbusha alikotoka, wakajitahidi sana kushusha kiburi chake.
Walimchana kabisa kuwa akitoka hapo, ajue kila biashara inayompa pesa, itapukutika kwasababu msingi wake ni hiyo ndoa.
Mungu saidia aliwaelewa sana wazazi wake.
Pia naona ndoa nyingi zinazovunjika kwasababu ya pesa, wazazi/ndugu wa ukeni huwa wanamchango mkubwa.
Yeah!! wako wise sana.Wazazi wanajitambua ndo maana wana hekima na busara
Sio wazazi Wengine wa hovyo hovyo wao ndo wangekua mstari wa mbele kuwaachanisha
Hizo story ni za zamani sana halafu sijui huwa mnatazama tamthiria kisha ndio mnakuja kutolea shuhuda? [emoji848]Pia wanaume wakifanikiwa wanaacha ndoa zao:wake zao na kuoa mabinti wadogo
Tatizo sisi ndio tunaotoa hela na kuingia gharama ndio maana tunalalamika. Ninyi hamuoni shida sababu nje ya mwili hakuna mnachoofa kwenye uhusiano.Haya mambo ni timing tu haina cha jinsia fulani, faida tuliyonayo wanawake ni km siku hizi tuna vifua yani hatulalamiki ovyo km nyie, tuna uwezo wa kuvumilia usaliti wenu, kubwa zaidi mapenzi yakiisha ni yameisha hapo ndo huwa tunaonekana vivuruge kumbe wala sometimes nyie ndio visababishi vya sie kufikia huko,
Kupiga
Ulevi mbwa
Umalaya
Manyanyaso ya kihisia ni vitu vinavyofanya mioyo iwe sugu tukinyamaza msidhani ni wajinga
Sasa mtu si kaondoka, ungekuwa umemfukuza ungejuliza why umefanya maamuzi ya hovyo, mtu kaondoka mwenyewe unajiuliza maswali ya kazi gani?Wenzako tulioa ndoa halari, mke akaondoka na vitu vyote vya ndani kwenda kusikojulikana mtoto kapeleka kwa mama yake, ndoa haijavunjwa kwa talaka, hapa nawaza sijui nifanye nini ila najijua ipo siku nitaamka na la kufanya kwa sasa ni kama akili imesimama nimezubaa ila sio la kusamehe mtu wala kumrudisha.
Huwezi kuishi na mtu ambaye yupo na wewe kwasababu ya shida zake then useme kuna mapenzi ya dhati hapo. Wanawake kimsingi ndio wanaoharibu ndoa na ndio chanzo cha talaka sababu hawajui wanachokitaka na kwa bahati mbaya jamii ya sasa haiwawajibishi inawakalia kimya sababu ni jamii inayoendeshwa na hisia za kike kike hata wanaume nao wamekuwa soft sana hawana uwezo wa kung'amua mambo na changamoto kiume wapo kike kike sana.Kapeace Uliyoongea hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume wengi pia ni vichomi, lakini je inaondoa the fact kwamba asilimia kubwa ya wanawake wako kwenye mahusiano kwa ajili ya kuhudumiwa kipesa, ilhali hawana hisia za kimapenzi na huyo mwanaume anaewahudumia, wakijipata wanaenda ku-date na machaguo Yao
Hata mwanamke mwenzenu Mzigua90 alishaongelea haya kwenye uzi wake kuhusu Joyce kiria
Ubinafsi ni neno zuri sema wana roho ya kwann na mbaya ndio maana unaweza mleta baba mkwe katika familia ya mtoto wake akakaa vizuri na mkampenda aendelee kuwepo. Ila mlete mama mkwe, huyo mwanamke akiwa na furaha nae watakaa sana ni wiki. Kuanzia mwezi vita vya paka na chui vitaanza.Wanawake ni wabinafsi sana tena sana
Ukiwa vizuri sahau kupata mwenza wa kuzeeka nae, utapata wa kukuzika tu.mwanamke anikubali vile nilivyo na uchakavu wangu, nitampenda , na nikifanikiwa vyema kiuchumi naapa sitamuacha, lakin mambo yakuja kwangu nikiwa nimeshajipata BIG NO, kwa kizazi cha sasa[emoji119][emoji706].
Wao ukitomba nje wanasema umebadilika, sasa huwa najiuliza tofauti ya Mwanaume aliyefanikiwa kipesa na ambaye anajitafuta huwa ni kutomba nje? [emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu,
Pesa hubadilisha akil ya mwanamke [emoji817].
Kwa sisi wanaume hatubadlk hata tupate u billionaire tutabak na wanawake/wake zetu.
Akishajipata anadai talaka mgawane mali halafu anaenda kwenye events zao kujiita malkia wa nguvu tena kama hana aibu atasema mume ndie alikua anachelewesha mafanikio yakeWanawake wengi wapo na wanaume wasiowapenda ili tu wapate huduma, siku wakijipata wanaenda kutafuta type zao. Pole sana mkuu Kwa kutumika, kuchezewa na kuachwaw
Ambae popote atakapoingia analeta matatizo tuMwanamke ni kiumbe flani hivi....
Sio jf tu ndio jamii tunayoishi iyo. Mifumo ya kijamii na kisheria ina loopholes za kumuwezesha mwanamke kutumia mahusiano na ndoa kwa manufaa yake binafsi sasa mwanaume akikosea kubet hapo kwenye kuoa lazima aite maji mmaThat's why wanaume wa jf wako harsh mda wote,, kumbe nyuma ya keyboard mambo si mambo,, poleni sana.
tunakoelekea ndoa zote zitakua za mkataba,, either kwaajili ya watoto kisha kila mtu anapita iviSio jf tu ndio jamii tunayoishi iyo. Mifumo ya kijamii na kisheria ina loopholes za kumuwezesha mwanamke kutumia mahusiano na ndoa kwa manufaa yake binafsi sasa mwanaume akikosea kubet hapo kwenye kuoa lazima aite maji mma
Umeongea ukweli mtupu mkuuHuwezi kuishi na mtu ambaye yupo na wewe kwasababu ya shida zake then useme kuna mapenzi ya dhati hapo. Wanawake kimsingi ndio wanaoharibu ndoa na ndio chanzo cha talaka sababu hawajui wanachokitaka na kwa bahati mbaya jamii ya sasa haiwawajibishi inawakalia kimya sababu ni jamii inayoendeshwa na hisia za kike kike hata wanaume nao wamekuwa soft sana hawana uwezo wa kung'amua mambo na changamoto kiume wapo kike kike sana.
Kwa style hii lazima wanawake wawe waharibifu. Miaka ya nyuma wakati wanaume wenye makolomelo ndio walikuwa wameshika mamlaka na hakuna mwanamke yoyote alileta hisia zake eneo la maamuzi tuliona mambo yamenyooka na hakuna uharibifu kama wa sasa. Ila kwasasa kinachoendelea ni matokeo ya kuchekeana na kuleteana dharau.
Kabisaa mkuu ndio tunapambania hilo na sijui kama tutafanikiwa.Ukiwa vizuri sahau kupata mwenza wa kuzeeka nae, utapata wa kukuzika tu.