Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Wanawake wengi wapo possessed na miroho ya giza inayowapa kiburi kiasi cha kushindwa kuwa submissive kwa waume zao...

Sasa ikitokea wamepata advantage ya vitu kama pesa, mali, marafiki wabaya, mchepuko basi ujue ndio ntolee...
 
Kuna mshikaji wangu maarufu sana wa mambo ya real estate kwanza mshikaji mjanja wa mjin pesa ipo ana vaa vizur ana gar kali nyumba kali dah juz nimeshangaa analia mtandaoni dem kasepa na watoto kosa alilofanya alimfungulia mkewe saloon na duka la urembo aisee Demu kaona ahame na nyumba kabisa

Sijui uwa wanataka nini hawa dada zetu...
Hawa wanajifanya wajanja na werevu na wanawamudu wanaume. Subiria huu mchezo waliouanzisha tutaumaliza sisi wanaume sababu sisi tumechagua kuwa wajinga awali hii, ila kikawaida anayecheka mwanzo hulia mwishoni, anayelia mwanzoni......... (Watamalizia wao).

Mama zetu kipindi tukikua kilio kilikuwa ni baba zetu kitowapatia privilege na haki fulani fulani ambazo sisi tulipokea hicho kilio na kuwa ahidi kuwa mabinti zao tutaishi nao kama mabinti wa kifalme hata kama watakuwa wametokea familia za kifukara tutawapa the best life.

Ila sasa, wanaume tunatumia hadi akiba zetu kuwanunulia vitu vya anasa na kuwapa matumizi ya anasa jambo ambalo ni kinyume na matakwa yetu ila tunafanya kuwasitiri na furaha zao. Wameenda mbali na kutaka na wao wawe na uhuru wa kupata mali, kazi, na hata kutokuwa chini ya amri yetu yaani kujiamlia kile wanachotaka bila kutushirikisha. Sasa wameota pembe na wameanza kutufanyia vituko na kujiona wao ni werevu sana na wanajua kutushinda.

Hii iwe shuhuda ya uhaini na kusaliti machozi yenu mama na bibi zetu, ambapo mililia na kupiga ukunga kuwa ninyi mliteseka ila sisi watoto wenu wa kiume tusije waangusha katika kuwapenda mabinti zenu. Ila mabinti zenu wamekengeuka na kuleta dharau.

Sasa waraka wetu kwenu mama zetu na bibi zetu, tumetimiza ahadi na hatujapata yale matunda mliyotuaminisha tutayapata bali tumegeuka mazezeta. Na baadhi ya wanaume wenzetu wamechagua kuwa wapumbavu kabisa na kutetea hawa mabinti zenu katika uovu wao na kujifanya wao hawaoni ubaya wao, sisi hao wanaume hawatupi shida, tumewapa jina tunawaita ma'simp. Tutamalizana nao kiume. Ila angalizo ni kuwa hatutakuwa tena na huruma, tutaishi nao man to man. Walipoweka ugoko tutaweka shoka, walipoweka komwe tutaweka jiwe. Vilio vyao vitatikisa makabuli yenu, vikianza msije mkastuka ni sisi tunawataka babu zetu radhi kwa vitendo.

Walamsiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mapicha picha yalivyozidi, mshikaji akafunga safari hadi huko mlimani akakaa na wazazi wa mke wake.

Wazazi baada yakuona ndoa ya mtoto wao iko matatani, wakamfungia safari pia.
Binti akaelezwa facts zakutosha, licha ya msaada mkubwa aliokuwa anawapa wazazi wake. Wale wazee wakamkumbusha alikotoka, wakajitahidi sana kushusha kiburi chake.

Walimchana kabisa kuwa akitoka hapo, ajue kila biashara inayompa pesa, itapukutika kwasababu msingi wake ni hiyo ndoa.

Mungu saidia aliwaelewa sana wazazi wake.

Pia naona ndoa nyingi zinazovunjika kwasababu ya pesa, wazazi/ndugu wa ukeni huwa wanamchango mkubwa.
Wazazi wanajitambua ndo maana wana hekima na busara
Sio wazazi Wengine wa hovyo hovyo wao ndo wangekua mstari wa mbele kuwaachanisha
 
Pia wanaume wakifanikiwa wanaacha ndoa zao:wake zao na kuoa mabinti wadogo
Hizo story ni za zamani sana halafu sijui huwa mnatazama tamthiria kisha ndio mnakuja kutolea shuhuda? [emoji848]

Maana hata tamthiria siku hizi zimepunguza sana story za wanaume kuwatenda wanawake visa vingi ni wanawake kuleta uhuni kwa wanaume.

Ila haina shida, si mnataka mashindano, kipyenga kimeshalia. Msilalamike tu sisi tutakaponyamaza na kufocus na mchezo.

Ninyi si huwa mnasema "mwanamke akifanya yake shetani anakaa kujifunza" ulishawahi jiuliza mwanaume akifanya yake nini huwa kinatokea? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ngojeeni, si mnataka ukichaa, sisi huu mchezo wa kuharibu ndio tumeanzisha, rafu na faulo tutazocheza msije mkaomba MUNGU aingilie kati. Ngoja, hili la single mother ni dogo sana kwenye list ya faulo, kuna mengi ambayo hamtaamini.

Vita na vianze.
 
Haya mambo ni timing tu haina cha jinsia fulani, faida tuliyonayo wanawake ni km siku hizi tuna vifua yani hatulalamiki ovyo km nyie, tuna uwezo wa kuvumilia usaliti wenu, kubwa zaidi mapenzi yakiisha ni yameisha hapo ndo huwa tunaonekana vivuruge kumbe wala sometimes nyie ndio visababishi vya sie kufikia huko,

Kupiga
Ulevi mbwa
Umalaya
Manyanyaso ya kihisia ni vitu vinavyofanya mioyo iwe sugu tukinyamaza msidhani ni wajinga
Tatizo sisi ndio tunaotoa hela na kuingia gharama ndio maana tunalalamika. Ninyi hamuoni shida sababu nje ya mwili hakuna mnachoofa kwenye uhusiano.
 
Wenzako tulioa ndoa halari, mke akaondoka na vitu vyote vya ndani kwenda kusikojulikana mtoto kapeleka kwa mama yake, ndoa haijavunjwa kwa talaka, hapa nawaza sijui nifanye nini ila najijua ipo siku nitaamka na la kufanya kwa sasa ni kama akili imesimama nimezubaa ila sio la kusamehe mtu wala kumrudisha.
Sasa mtu si kaondoka, ungekuwa umemfukuza ungejuliza why umefanya maamuzi ya hovyo, mtu kaondoka mwenyewe unajiuliza maswali ya kazi gani?
 
Kapeace Uliyoongea hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume wengi pia ni vichomi, lakini je inaondoa the fact kwamba asilimia kubwa ya wanawake wako kwenye mahusiano kwa ajili ya kuhudumiwa kipesa, ilhali hawana hisia za kimapenzi na huyo mwanaume anaewahudumia, wakijipata wanaenda ku-date na machaguo Yao

Hata mwanamke mwenzenu Mzigua90 alishaongelea haya kwenye uzi wake kuhusu Joyce kiria
Huwezi kuishi na mtu ambaye yupo na wewe kwasababu ya shida zake then useme kuna mapenzi ya dhati hapo. Wanawake kimsingi ndio wanaoharibu ndoa na ndio chanzo cha talaka sababu hawajui wanachokitaka na kwa bahati mbaya jamii ya sasa haiwawajibishi inawakalia kimya sababu ni jamii inayoendeshwa na hisia za kike kike hata wanaume nao wamekuwa soft sana hawana uwezo wa kung'amua mambo na changamoto kiume wapo kike kike sana.

Kwa style hii lazima wanawake wawe waharibifu. Miaka ya nyuma wakati wanaume wenye makolomelo ndio walikuwa wameshika mamlaka na hakuna mwanamke yoyote alileta hisia zake eneo la maamuzi tuliona mambo yamenyooka na hakuna uharibifu kama wa sasa. Ila kwasasa kinachoendelea ni matokeo ya kuchekeana na kuleteana dharau.
 
Wanawake ni wabinafsi sana tena sana
Ubinafsi ni neno zuri sema wana roho ya kwann na mbaya ndio maana unaweza mleta baba mkwe katika familia ya mtoto wake akakaa vizuri na mkampenda aendelee kuwepo. Ila mlete mama mkwe, huyo mwanamke akiwa na furaha nae watakaa sana ni wiki. Kuanzia mwezi vita vya paka na chui vitaanza.
 
mwanamke anikubali vile nilivyo na uchakavu wangu, nitampenda , na nikifanikiwa vyema kiuchumi naapa sitamuacha, lakin mambo yakuja kwangu nikiwa nimeshajipata BIG NO, kwa kizazi cha sasa[emoji119][emoji706].
Ukiwa vizuri sahau kupata mwenza wa kuzeeka nae, utapata wa kukuzika tu.
 
Inamaana washatuona sisi mapunguani wa akili mpk kupretend kua wanatupenda kumbe sivyo Pepo wataiskia Hawa viumbešŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Pole sana mkuu,
Pesa hubadilisha akil ya mwanamke [emoji817].

Kwa sisi wanaume hatubadlk hata tupate u billionaire tutabak na wanawake/wake zetu.
Wao ukitomba nje wanasema umebadilika, sasa huwa najiuliza tofauti ya Mwanaume aliyefanikiwa kipesa na ambaye anajitafuta huwa ni kutomba nje? [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume hata awe fukara kutomba nje ni given yaani lazima atafute pisi ya kumchachua kidogo ili akija kwa mkewe stimu ziwepo.
 
Wanawake wengi wapo na wanaume wasiowapenda ili tu wapate huduma, siku wakijipata wanaenda kutafuta type zao. Pole sana mkuu Kwa kutumika, kuchezewa na kuachwaw
Akishajipata anadai talaka mgawane mali halafu anaenda kwenye events zao kujiita malkia wa nguvu tena kama hana aibu atasema mume ndie alikua anachelewesha mafanikio yake
 
That's why wanaume wa jf wako harsh mda wote,, kumbe nyuma ya keyboard mambo si mambo,, poleni sana.
Sio jf tu ndio jamii tunayoishi iyo. Mifumo ya kijamii na kisheria ina loopholes za kumuwezesha mwanamke kutumia mahusiano na ndoa kwa manufaa yake binafsi sasa mwanaume akikosea kubet hapo kwenye kuoa lazima aite maji mma
 
Sio jf tu ndio jamii tunayoishi iyo. Mifumo ya kijamii na kisheria ina loopholes za kumuwezesha mwanamke kutumia mahusiano na ndoa kwa manufaa yake binafsi sasa mwanaume akikosea kubet hapo kwenye kuoa lazima aite maji mma
tunakoelekea ndoa zote zitakua za mkataba,, either kwaajili ya watoto kisha kila mtu anapita ivi
 
we kiumbe kiliweza kuongea na nyoka halafu unamuamini........
kawaida ya wanawake wao ndio walaghai halafu wanasema wanaume ndio walaghai...
be care wasije wakakulaghai wengine ukawatafutia tena kazi
@mwanamke_lake_jiko
 
Huwezi kuishi na mtu ambaye yupo na wewe kwasababu ya shida zake then useme kuna mapenzi ya dhati hapo. Wanawake kimsingi ndio wanaoharibu ndoa na ndio chanzo cha talaka sababu hawajui wanachokitaka na kwa bahati mbaya jamii ya sasa haiwawajibishi inawakalia kimya sababu ni jamii inayoendeshwa na hisia za kike kike hata wanaume nao wamekuwa soft sana hawana uwezo wa kung'amua mambo na changamoto kiume wapo kike kike sana.

Kwa style hii lazima wanawake wawe waharibifu. Miaka ya nyuma wakati wanaume wenye makolomelo ndio walikuwa wameshika mamlaka na hakuna mwanamke yoyote alileta hisia zake eneo la maamuzi tuliona mambo yamenyooka na hakuna uharibifu kama wa sasa. Ila kwasasa kinachoendelea ni matokeo ya kuchekeana na kuleteana dharau.
Umeongea ukweli mtupu mkuu
 
Back
Top Bottom