Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Mwanaume, ukitaka kufurahia maisha ya ndoa, oa Mwanamke anayekupenda. Usioe Mwanamke unayempenda. Narudia tena, subiri upendwe, wewe mwanaume kaa upande wa kupendwa na sio upande wa kupenda.

If you know, you know.
Pia lazima ujue kuwa nyakati huisha na mioyo ya watu hubadilika........

Hata wanaochukiana leo walikuwa wapenzi huko zamani..........

Mimi niliwahi kuambiwa na mtu kuwa ukiniacha nakunywa sumu huku ameshika kikombe chenye sumu ya panya..... mapenzi yalipoisha akaondoka kama hanijui.........

Usione ukadhani......haya mambo hayana formula.......
 
Nice decision, huyo husingeweza mbadilisha,tamaaa,tamaaaa
 
Pole sana mkuu
 
Eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…