Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Mwanaume, ukitaka kufurahia maisha ya ndoa, oa Mwanamke anayekupenda. Usioe Mwanamke unayempenda. Narudia tena, subiri upendwe, wewe mwanaume kaa upande wa kupendwa na sio upande wa kupenda.

If you know, you know.
Pia lazima ujue kuwa nyakati huisha na mioyo ya watu hubadilika........

Hata wanaochukiana leo walikuwa wapenzi huko zamani..........

Mimi niliwahi kuambiwa na mtu kuwa ukiniacha nakunywa sumu huku ameshika kikombe chenye sumu ya panya..... mapenzi yalipoisha akaondoka kama hanijui.........

Usione ukadhani......haya mambo hayana formula.......
 
Ukumsaidia mwanamke kutoboa akipanda level ataanza kujiuliza why yupo na mtu kama wewe na sio mtu wa level ya juu yake. Hypergamy hiyo.

Nilikuwa na demu kwenye baby walker barabara kubwa, kwenye foleni ikaja Land cruiser Prado, demu kaitazama bila aibu akanambia ile ndio gari na anatamani kumiliki kama ile one day.

Nikamtazama nikimtathimini. Sasa nikawaza, yeye wazazi wake wapo mkoani ni wa kulima wa kilimo cha kujitosheleza na wafugaji wa ng'ombe na mbuzi chache kwa matumizi ya nyumbani, hawana hata pikipiki. Leo uongee maneno ya namna hiyo kwangu kijana nimejitafuta ya afadhali nina baby walker nimepiga hatua.

Nimekupa heshima ya kuwa ubavu wangu tufurahie maisha na haka ka'baby walker wakati tukijipanga kupata gari nzuri zaidi kwa macho na akili ya tamaa unapoint gari milioni 100 na ushee, matako yako unaweza hata mudu kununua bajaji takataka kabisa.

Nilijisikia fedheha sana siku ile na nikaona watoto wa kike wa siku hizi wanalelewa maisha ya kuamini wanaweza kupata chochote wanachotaka bila kujali kwa namna gani ila somehow watakipata sababu wana miili yao na itawapa access ya kukipata. Nikamdharau na tokea siku ile nikawa nimemgeuza side chick bila kujua na sikuwa nimemuweka kichwani tena nilimuweka kwenye pumbu, nikiwa na hamu ya kungonoka namuwaza yeye sana nikiwa sina hamu nasahau kama yupo.

Vijinga sana hivi vibinti vya siku hizi. Tamaa mbele mauti ya kiroho na kimwili yafuata.
Nice decision, huyo husingeweza mbadilisha,tamaaa,tamaaaa
 
Miaka 5 nyuma nilipatwa na hiki kisa, sijui huwa kuna nini kinatokea kwa wenzetu naweza kusema alikuwa mke kabisa maana kwao walinifahamu posa na mahari nilishamaliza na watoto wawili nimemzalisha sasa kipindi chote hicho alikuwa anafanya shughuli ndogondogo tu.

Sasa ikatokea fursa sehemu nikamwambia mama kwa haya maisha tunayoishi itachukua muda kutoboa hapa ebu kamatia iyo fursa ya kazi tusaidizane bwana bwana bwana kumbe ndio nilikuwa namaliza familia yangu wakuu kitendo cha yeye kupata ile kazi tu na vile nilimtumia mtu ninayemjua ilikuwa rahisi sana kwake kutoboa.

Picha linaanza kwanza amepangiwa mkoani akili ikacheza mmh nikiwa nipo kwenye dilema ya maamuzi kwao wakawa wapo karibu nae zaidi na wakamwambia aende huko kwa kuwa watoto bado wadogo waende kwa bibi yao yaani mama yake hadi mambo yatakapokuwa sawa kule then awachukue.

Basi mwezi ukaisha mwezi wa pili mara miezi sita nikaanza kuona mapicha picha kwanza sikuwahi kuona hela yake ingawa alikuwa analipwa mara 4 ya mshahara wangu bado nilitakiwa kutuma pesa ya matumizi kwangu hakuwa shida maana naelewa mwanaume ndio mtunza familia kifedha.

Alifanikiwa kurudi kipindi cha mwanzo mwanzo tu tena akaniletea nyodo hatari stori zake sasa ooh mwaka huu nanunua gari sijui wewe umeshindwa hiki na kile nikitaka tunda anajivutaa nikajisemea hii ngoma ndio imeshavuja hapa. Kwakweli haikufika hata mwaka tukabwagana.

Hakuna kipindi nilikonda kama kipindi kile full mawazo alafu ndugu zake wananichora tu kenge wale!
ilibaki kidogo nidondoke nifeee!

Kuna mama mmoja mtu wa makamo akanifuata na kuniweka chini kisha akanipa ushauri mmoja wa nguvu sana akaniambia kijana wangu usiwe mnyonge hivyo tafuta mwanamke mdogo na mzuri kuliko mkeo then furahia maisha haya maisha ni mafupi sana na utamsahau.

Kwa kweli namshukuru sana yule mama maana from there maisha yalibadilika taratibu nilianza kumsahau yule mwanamke na mambo yake ingawa bado muda mwingine naumia ila ndio maisha isee
tuishi nao kwa akili!

Kwanini nimeleta huu uzi?
Nataka vijana wenzangu hasa hawa wadogo ambao wanajianda kuingia kwenye maisha ya familia wawe makini na kujitaidi wajipende na wao wasijitoe sana kwa ajili ya familia zao things change na maumivu utayopitia sio ya kawaida mm nilikuwa najiona mgumu nilikuwa nashangaa wanaume wanaolalamikia wake zao ila yalivyonikuta nilijishangaa najikaza ila uso na mwili vilijionyesha kuwa nipo kwenye maumivu jamani maumivu ya mahusiano hayaelezeki tena kwa sisi ambao tulishakuwa na familia utashangaa chakula hakipiti wala maji hayashuki.

Kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana yaani kuna muda nilikuwa nikikaa hivi fikra za watoto wangu wapo mbali muda niliopoteza kuwa na mwanamke yule nilikuwa nafamilia ghafla naishi mwenyewe machozi yanatoka yenyewe tu.

Nashukuru sana gospel music inafariji sana.
Pole sana mkuu
 
Wanaume tunapitia mengi.
Hongera kwa kumsahau.
Mshikaji wangu yeye alilishwa sumu na mke wake.
Ilibaki kidogo tumpoteze mwamba. Engineer kabisa.
Washukuriwe madokta wa pale Aghakan.
Waliokoa maisha ya mshikaji last minute kabisa.
Leo nimemwona jamaa nikakumbuka aliwahi kuchungulia kifo live live
Eeeh
 
Back
Top Bottom