Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

cjaelewa vzr andiko lako,hlf ulivo malizia ndo umenichanganya,yan classmate amekufurahisha kuwa mhudumu wa hotel/ mgahawa?. ulitaka tujifunze nn Khs hili andiko?
Don't force eyes to interpret mkuu, ni ubongo to ndo unaotafsirigi mambo!!!!
 
Mmh ndo nyie mnafanyaga watu wakiwaona wakimbie au wajifiche,,sasa uende anapokaa ili iweje?umsanifu cause she didn't not reach far?aah
 
jinsi ulivosimulia ni hakika huyo ni kutoka kitengo,ana kazi maalum hapo,rudi tena naamini hutamkuta.ukiona hivo jua ni wale ndg zetu.
 
jinsi ulivosimulia ni hakika huyo ni kutoka kitengo,ana kazi maalum hapo,rudi tena naamini hutamkuta.ukiona hivo jua ni wale ndg zetu.
Mkuu nimeandika kilichopo moyoni , nilichokigundua
Hakika huyu dada ni usalama tena tangu sekondari
 

Seriously....Inaonekana umefurahia Hali ya huyo Dada kwa kiwango cha juu sana... Sijui ni kwa nini Baadhi ya binadamu hufurahia majanga ya binadamu wengine...So pathetic...
 
Aliyachezea maisha, acha sasa maisha yamchezee.

Jitahidi kupangilia vizuri kazi yako ili ilete mantiki.
 
Seriously....Inaonekana umefurahia Hali ya huyo Dada kwa kiwango cha juu sana... Sijui ni kwa nini Baadhi ya binadamu hufurahia majanga wa binadamu wengine...So pathetic...
Soma vuzuri mi namona ni level nyingine na Mali za home ni zake
 
Aliyachezea maisha, acha sasa maisha yamchezee.

Jitahidi kupangilia vizuri kazi yako ili ilete mantiki.
Mi namona level nyingine silently na Mali za home gorofa gari ni vyake
 
Huyu Jamaa anaishi Dar.
Na ndio walee wenye kulewa muda wa Kazi.
Hongera kwa kuitendea haki Weekend yako,haya ndio matokeo ya bia za pesa ya mshahara.
Ili mtu akuelewe lazima awe mlevi tena wa roba
Mkuu between the line inaonyesha una dharau sana.
 
Kwa ufupi anakufahamu kuwa wewe ni cha umbea huna kifua cha kutulia na jambo thus why anakukwepa, ndio maana umeleta umbea humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…