MhhDah! Kuna dada ni jirani yetu home nilikozaliwa
Wazazi wake walifariki
So alilelewa na bibi
Huyu dada Nilisoma naye O level
Alikuwaga wa kwanza class siku zote
Baadaye ikawa ikitokea mkakutana na huyu dada Akakupa no yake ya simu itapatikana siku hiyo tuu
Alikuwa na tabia ya kutoroka sana shule
Akapewa adhabu ya kukaa nyumbani mwezi
Ghafla yupo kibosho Girls
Na bibi hakuwa na uwezo alikuwa anatwambiaga alipataga wafadhili wa kumsomesha
Ok akasoma UDSM
Akaenda nje sijui kusoma nini!
Eti namkuta anauza mgahawa manzese Dar es salaam tena kaajiriwa mshahara waweza usizidi laki
Haonyeshe kuchoka
Eti Hana simu
Hapendi nijue anakoishi wala hataki mazoea
Home kwa bibi pale pamejegwa kigorofa, pickup ya majani, wafanya kazi kibao na dereva juu,
Bibi alikuwa na watoto 3 mmoja alikufa , 2 ni walimu MOSHI uko uko , na nawajua na najua maisha yao tuu
Bibi ni Mzee sana kwa sasa na haoni ata
Dah! classmate muuza mgahawa kanifuraisha leo
si ili amle yani wabongo sijui wanakuwaje wanawaza mapenzi huku wanatembea mkuuUlitaka ujue anapoishi ili iweje mkuu
Kajifunze kwanza kuandika vizuriDah! Kuna dada ni jirani yetu home nilikozaliwa
Wazazi wake walifariki
So alilelewa na bibi
Huyu dada Nilisoma naye O level
Alikuwaga wa kwanza class siku zote
Baadaye ikawa ikitokea mkakutana na huyu dada Akakupa no yake ya simu itapatikana siku hiyo tuu
Alikuwa na tabia ya kutoroka sana shule
Akapewa adhabu ya kukaa nyumbani mwezi
Ghafla yupo kibosho Girls
Na bibi hakuwa na uwezo alikuwa anatwambiaga alipataga wafadhili wa kumsomesha
Ok akasoma UDSM
Akaenda nje sijui kusoma nini!
Eti namkuta anauza mgahawa manzese Dar es salaam tena kaajiriwa mshahara waweza usizidi laki
Haonyeshe kuchoka
Eti Hana simu
Hapendi nijue anakoishi wala hataki mazoea
Home kwa bibi pale pamejegwa kigorofa, pickup ya majani, wafanya kazi kibao na dereva juu,
Bibi alikuwa na watoto 3 mmoja alikufa , 2 ni walimu MOSHI uko uko , na nawajua na najua maisha yao tuu
Bibi ni Mzee sana kwa sasa na haoni ata
Dah! classmate muuza mgahawa kanifuraisha leo
Novo =novelHuwa mnasomaje novo mkuu?