Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

Yaani mastori mengine bana... huwaga ya kisenge humu JF!
 
hacha ushamba hapa ongo hatufatiliani uandhani mbokomu hapa, jiangalie wewe mwishowe mjini watu wnakula jicho ukiitabaki jicho huna na pesa umeisha piga jichunge hacha kufatilia life za watu Mangi
 
Hivi mleta mada ulishindwa kujiongeza kweli?Huyo nimojawapo wa wanaopelekea hii nchi iende.Ova
 
Aiseee
 
Lengo la uzi wako ni kwamba umefurahi au umehuzunika kumkuta katika hali hiyo?
 
Duuh! Ili mtu kuelewa mada yako anabidi awe kichwa kuliko hata Einstein... Na kwa Iq za wabongo wengi zilivyo, mmh sijui nani atakuwa kakuelewa hapo....
 
Ushangai simu hana, wakati mchina yupo mpaka wa pauni kitaa! Watu wako kazini zaidi ya mgahawa, classmate wako yupo kitengo, ndiyo maana kashindwa kukupa namba za simu.
 
Dah! Kuna dada ni jirani yetu home nilikozaliwa
Wazazi wake walifariki
So alilelewa na bibi
Huyu dada Nilisoma naye O level
Alikuwaga wa kwanza class siku zote
Baadaye ikawa ikitokea mkakutana na huyu dada Akakupa no yake ya simu itapatikana siku hiyo tuu
Alikuwa na tabia ya kutoroka sana shule
Akapewa adhabu ya kukaa nyumbani mwezi
Ghafla yupo kibosho Girls
Na bibi hakuwa na uwezo alikuwa anatwambiaga alipataga wafadhili wa kumsomesha
Ok akasoma UDSM
Akaenda nje sijui kusoma nini!
Eti namkuta anauza mgahawa manzese Dar es salaam tena kaajiriwa mshahara waweza usizidi laki
Haonyeshe kuchoka
Eti Hana simu
Hapendi nijue anakoishi wala hataki mazoea
Home kwa bibi pale pamejegwa kigorofa, pickup ya majani, wafanya kazi kibao na dereva juu,
Bibi alikuwa na watoto 3 mmoja alikufa , 2 ni walimu MOSHI uko uko , na nawajua na najua maisha yao tuu
Bibi ni Mzee sana kwa sasa na haoni ata
Dah! classmate muuza mgahawa kanifuraisha leo
Mhh
 
Hivi unaongea nn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kajifunze kwanza kuandika vizuri
 
Mbaya zaidi unayemsema yupo humu humu amekuona mjinga sana kuchunguza life za watu mm ndo maana kuna baadhi ya classmate wangu nakwepa
 
Back
Top Bottom