Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

Au ndio yule anaeongozana na JPM akiwa kasuka twende kilioni huku kavaa vaa visivyoeleweka???

Ila nimempenda ana akili maana kagorofa kamoja kijijini kajitahd sana.
Mkuu nimeandika kilichopo moyoni , nilichokigundua
Hakika huyu dada ni usalama tena tangu sekondari
 
Hivi unajisikiaje ukitukana sehemu kama hii yenye babazako, mamazako na wakubwa na hata wadogo zako mkuu? Hayo matusi ya billicanas Kijiwe cha matapeli kwanini usiyaachie huko huko? Stop this bhana.
Yaani mastori mengine bana... huwaga ya kisenge humu JF!
 
Lengo la stori hii

lengo la stori yako hii ni nini?
 
Kuna wengi watanyang'anywa vyeti humu maana ata imla hawakupitia
Walifauluje! Ndalichako mama humu wapo
 
Uwe unajiongeza na wewe bwana, ni mtu wa mfumo na hapo yupo kazini, na akishajua unamfatilia sana atapotea hapo

kujiongeza!!hahahahaaaaa.... yan jamaa anafuatilia mpk jamiiforum!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…