Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

Duh kama shairi vile kila ubeti na ujumbe wake!!!!!
 
Narudi nyumbani mkuu.
Parcel haikutumwa make driver kafika muda mbaya msamvu akahofu kutuma kwa kuhofia parcel kupotea!
Cool down friend coz am sure with what m doing.
B4 receiving your parcel; think of paying me the remaining balance!
With no doubt, your parcel will be in Dar early 11:00am tmor.
Plz clear the remaining balance...
 
Alikuwa na akili sana darasani, akasoma udsm, amejenga ghorofa kibosho na kanunua pickup imepaki tu hapo kibosho sijui narumu au umbwe, ameajiriwa mgahawani nabyuo kiloko loko, alikupa no ya simu baada ya hapo ahapatikani, hana simu kwa sasa, hahahahaa, changanya zako mkuu utapata majibu, au nenda break point k nyama unaweza mkuta

Ngoja nikupe true story
Kuna mbaba mmoja huku niliko alikuwa anauza soksi, anatembeza soks kila mahali, na ofis yoyote alikuwa anaingia, mpa hospitalini wodi zoteee, mji mzima ulimjua kwa jina la" sokesi" alikuwa akivaa yebo mpaka inatoboka, ana maswali sana, nanakiona vipi anaanza kutwanga injili, alikuwa mlutheri, ila watu walijua ni anasali tag, lakini kumbe sio, watu walijua ni maskini na ameokoka kumbe sio, hayo yote yalijulikana sikubaliyokufa ghafla kwa tatizo la apendex, raia walishanga msiba unasimamiwa na ofisi ya mkuu wa mkoa na wilaya, na gari za serikali kibao msibani, na serikali ndo ilisimamia msiba wake, mambo yoote ndo yalifichuka hiyo siku
 
Ushasema alikuwa kichwa! then why to scruitinize her while she leads before ya?
Sikujua kama utakuwa huna akili kiasi hiki!!
Fanya yako, usifuatilie yasokuhusu na utaonywa mpaka lini?? Unataka uzimishwe ndo uelewe???
 
Narudi nyumbani mkuu.
Parcel haikutumwa make driver kafika muda mbaya msamvu akahofu kutuma kwa kuhofia parcel kupotea!
Cool down friend coz am sure with what m doing.
B4 receiving your parcel; think of paying me the remaining balance!
With no doubt, your parcel will be in Dar early 11:00am tmor.
Plz clear the remaining balance...
Aiseeee
 
Alikuwa na akili sana darasani, akasoma udsm, amejenga ghorofa kibosho na kanunua pickup imepaki tu hapo kibosho sijui narumu au umbwe, ameajiriwa mgahawani nabyuo kiloko loko, alikupa no ya simu baada ya hapo ahapatikani, hana simu kwa sasa, hahahahaa, changanya zako mkuu utapata majibu, au nenda break point k nyama unaweza mkuta

Ngoja nikupe true story
Kuna mbaba mmoja huku niliko alikuwa anauza soksi, anatembeza soks kila mahali, na ofis yoyote alikuwa anaingia, mpa hospitalini wodi zoteee, mji mzima ulimjua kwa jina la" sokesi" alikuwa akivaa yebo mpaka inatoboka, ana maswali sana, nanakiona vipi anaanza kutwanga injili, alikuwa mlutheri, ila watu walijua ni anasali tag, lakini kumbe sio, watu walijua ni maskini na ameokoka kumbe sio, hayo yote yalijulikana sikubaliyokufa ghafla kwa tatizo la apendex, raia walishanga msiba unasimamiwa na ofisi ya mkuu wa mkoa na wilaya, na gari za serikali kibao msibani, na serikali ndo ilisimamia msiba wake, mambo yoote ndo yalifichuka hiyo siku
Baada ya kutoka pale nimemona mtu wa hatari sana ila nitapata nafasi ya kupita pale wiki ijayo nikipata chansi nitaleta mrejesho
 
mbere huyo dada anauza ngande au shia, je nduu za kuchensha anazo, kama atakuwa na machalare ya kitaraasa unijulishe
 
Bange mbayaa!
Huu Ulimwengu bwana!
Kupanga ni kuchagua unamonea huruma mvuta bangi, Wakati yeye anajiona bora kuliko ata Obama, wanasemaga wapo kwenye dunia nyingine kabisa

we endelea kuishangaa bangi!!!!!
 
Kusimulia nacho ni kipaji kumbe! kinaenda sambamba na uandishi pia.

Swali- kwa hiyo unamcheka kuuza mgahawa au unamsifu kuwa ana kazi nzuri?! Kwa kweli sijaelewa
 
Umetoka moshi umekaa dar mpaka na wewe ni mwanaumebwa Dar.sisi tufanye nini?
 
Story za walevi hizi hazinaga mwisho wa kueleweka
 
Back
Top Bottom