Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.

Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.

Sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.

Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo Dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.

Nazima simu.
1. Mkataba wa kupangashiana ulisemaje???. Ulikataza mtu kuwa na wenza ktk Unit yake? Ulikataza mila au desturi au imani ya kuwa na wanawake wengi??

2. Wewe ni baba yao? Mentor au life coach uanza kuwapa ushauri sijui mnapoteza nguvu ndo maana hawana viwanja?? Ulitaka wakutangazie hatua za maisha yao??
Hao wasio ingiza wanawake ni unit Sita zingine, mbona bado wamepanga kwako??.

3. Fanya Biashara, Sio kuanza kuchunga faragha za watu na kufatilia maendeleo yao binafsi. Ujinga wa maskini Ni faida kwa tajiri.

4. Kanuni ingekuwa moja tu, mambo ya unit A, wewe Unit B, otherwise inatishia uhai na amani, sio starehe za mtu. Kesho atakuja mwingine aseme anapata Anxiety mwenzake anavyo vaa suti kali kila siku au anavyo kaangiza mazaga.

5. Nyie ndio wazee Nuksi, mkiotea vitu kidgo ,trauma zenu zinawafanya muanze kufokea watu mjione in CONTROL. Hao majiran wengine ni wivu na hofu wake zao watawaona hawatoshi Bed maana mwenzao anapeleka moto vibaya mno..

6. Hiyo ni unit za kupanga, sio makambi ya kisabato, kilokole au retreat ya waislamu watu acha wasibanwe.
Rejea upya mikataba yako ,Mzee wa Busara. Ili mtu ajue napaweza kuishi au niende mbele.
 
Acha wivu mzee.

Umekurupuka...sio sahihi
kuingilia faragha ya wapangaji wako
Mtoa mada ana hoja.

Falagha ni jambao linalotakiwa kutendwa na mtu bila kuonesha wengine ama kuwahusisha wasiohusika.

Sasa kufanya mapenzi kwa kupiga kelele za kuudhi wengine ni faalagha hiyo?

Hakuna uhuru usiokuwa na mipaka, vijana jiheshimuni.
 
Acha wivu Faza house!
20250305_000315.jpg
 
Back
Top Bottom