Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.

Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.

sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.

Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.

Nazima simu.
Ukiwa na kibamia halafu ukasikia mwamba anapiga show hadi mtoto anaomba poo lazima utoke povu tu
 
What is the difference?
Kwamba wakifanyia huko kwingine inakuwa siyo ngono au siyo uzinzi?
Sasa nani anamuona
Aende akapige kelele huko asisumbue watu Kuna watoto usiku hawalali utashangaa siku vitoto hapo mtaani vinaanza kulia liankimahaba😀

Mm naheshimu uhuru wangu na watu wengine shughuli zangu na baby wangu tunamalizia maeneo tnayoona nitajiachia sio kwenye nyumba za watu na km ikiwa but Kwa adabu na heshima
 
Acha wivu we Mzee, umejuaje kama ni wanawake tofauti?. Kwahio kijana asinyoshe mgongo nyie ndio wenye nyumba wakuda ambao mnasema aje akutambulishe mwanamke mmoja, wakiachana Je?.

Pangisha walio oa na kuolewa basi, vinginevyo kamata Kodi yako tulia, vijana wafanye yao.

Ngoja siku moja, huyo anaekuletea taarifa amtie mimba binti yako, ndio utamkumbuka huyo aliekua anatoa magoma mbali.
Mababu umeongea kwa uchungu kweli.
 
Tatizo nahis si Father house.. tatizo ni huyo mpangaji mnafki aliyechoma kwa Father house.. na Dingi inaonyesha hana uwezo mkubwa wa kufikir akaamua atoe maamuzi.
 
Back
Top Bottom