Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Sijui kwanini watu wanamtetea muhusika na kumlaumu mwenye nyumba.

Amesema anazo units 7 yumkini humo kapangisha mpaka watu wenye familia zao watoto wanaokua mna mahausigel na wengine ni watu wanaojiheshimu sana sasa hawezi kutokea kijana mmoja muhuni muhuni akavunja maadili ya jamii hii yote pana tuambiane ukweli.
 
Ungemshauri awe anawasha redio mkuu, kwa mbaaali naamini sauti haitasikia nje?

Alafu nyumba ngan hiyo sauti zinatoka nje Au Hakuna sealing boards.
Shida sio sauti tu ila kama wengine wana familia kuna namna hizo movements zinaharibu watoto wao.

Ukifuatilia moja ya mizizi ya watoto wa uswahilini kuharibikiwa mapema ni hizo exposure ya ngono katika umri mdogo.

Binafsi siwezi ingilia faragha ya mtu lakini ukiona hadi watu wanaungana kutaka aondoke. Bhasi pengine hata yeye alikosa ustaarabu pia
 
Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.

Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.

sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.

Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.

Nazima simu.
Wambie kinachowafanya wasilale na kufanya Yao ni kitu gani 😂😂 kusikiliza tu jirani yao, wewe na wao acheni wivu, kama nyie wavivu mwacheni mwenzenu, sasa usiku wa manane unasikilizia Kwa jirani kunatoka sauti gani au kwako ni uswazi sana nini!
 
Back
Top Bottom