Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Sawa ila sio adabu hat km unalipa KodiWivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila sio adabu hat km unalipa KodiWivu tu
Jenga kwako mkuu..utaish kwa amani sanaSasa nani anamuona
Aende akapige kelele huko asisumbue watu Kuna watoto usiku hawalali utashangaa siku vitoto hapo mtaani vinaanza kulia liankimahaba😀
Mm naheshimu uhuru wangu na watu wengine shughuli zangu na baby wangu tunamalizia maeneo tnayoona nitajiachia sio kwenye nyumba za watu na km ikiwa but Kwa adabu na heshima
Ndo maanq mikataba iko tofaut...kama hutak hizo kero formulate mkataba unaotaka walioa tu..na kama nao mwendo ni ule ule..itabid ubadilishe matumiz ya chumba na kufugia kukuSawa ila sio adabu hat km unalipa Kodi
Hasira hasara eti.Nitajitahid kanijibu majibu mabaya ndo na mm nijampokea km alivokuja 😃
BTW, enjoy JF.Nitajitahid kanijibu majibu mabaya ndo na mm nijampokea km alivokuja 😃
Unakielewa kwel ulichoandika?Natural justice ni zero, toa onyo kisha next step hatua ingine
Yani sauti juu kama wanacheza pono?Usiku wa manane chochote utakachofanya chini ya decibel 20 kitasikika kwa sauti ya juu.. ni usumbufu kusikia sauti za wapenzi wakifanya mapenzi tena kwa sauti ya juu
Umenuonea. Kwani, hilo lilikuwamo kwenye mkataba wenu? Maisha mpangaji wako yanakuhusu nini? Wewe mzaramo nini? Akila vizuri kosa. Akila vibaya kosa. Kuna watu hawakupaswa kuwa na hata nyumba kama wewe mwanangu. Hiyo nyumba umejenga kwa fedha halali au umerithi?Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Hapo ishu sio uhuni. Ishu hapo ni makelele. Je, kama akioa huyo Mke yeye atakuwa hapigi makelele?Wahuni siwataki nyumbani kwangu kama hutaki kuoa baki single au ishi na mwanamke mmoja kwa uadilifu. Wahuni
Naunga mkono hoja zamani tulikuwa tunaomba moto sasa ni mwendo wa kupelekeana moto ,unayo hoja usikilizwe.Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Mfano huyo mpangaji angekuchukua wewe kungononeka na yeye ungemfukuza? Mkuu,, una dharau sana, hapa si Zanzibar kwa wapiga punyeto, mwache mpangaji ale raha zake kwani si anakulipa pango la chumba?Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
😂😂😂😂😂hao majamaa ni wanafiki sana
mpaka night kali wako macho wanasubiri mkali apige game wasikilizie milio