sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Si alipaswa amshauri atumie radio Ku neutrize sauti....Umefanya la maana sana baba mwenye nyumba nakuunga mkono na mguu
Watu wasiojiheshimu wataona unakosea
😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si alipaswa amshauri atumie radio Ku neutrize sauti....Umefanya la maana sana baba mwenye nyumba nakuunga mkono na mguu
Watu wasiojiheshimu wataona unakosea
Wenye nyumba kama nyie wanoko sana , mwenyewe pia hapa nimepewa notice et kisa naleta wanawake natomba saut zinatoka nje , kwahy jamaa kanitimua et namwalibia maadili nyumban kwake ............ila hamna shidaNina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Nshawai kukaa nyumba moja ya mchaga wa Rombo pale mwananyamala koma koma na yeye alikua anaishi pale pale, Mzee alikua nuksi kwelI kweli, Masharti kibao + kufuatiliana sana, ikabidi nikimbieTatizo hili utakutana nalo zaidi kwa wamiliki wa nyumba za kurithi haswa mikoa ya pwani na wengi wao ni wenyeji wa Kusini.
kukaa nyumba moja na mwenye nyumba ni first degree mistake. Jua tu umeshauza uhuru wako from the very beggining.Nshawai kukaa nyumba moja ya mchaga wa Rombo pale mwananyamala koma koma na yeye alikua anaishi pale pale, Mzee alikua nuksi kwelI kweli, Masharti kibao + kufuatiliana sana, ikabidi nikimbie
Wawekee gypsum board nzuri caiman unapunguza hayo mamboNina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Baba mwenye nyumba aache ushauri 😁😁😁Huu uzi wako umelenga zaidi katika kutoa ushauri kwa vijana hasa wa dar 😄, Tukuambie tu kitu baba mwenye nyumba sisi vijana wengine kubadirisha wanawake kila wakati ndio kitu kinachotuingizia pesa 🙏.
Hiyo heshima hata ukiwa nayo inakusaidia nini?Hata heshima mtaani unakuwa huna watu wakiamka wanakuona kama kasongo tu🤣🤣
Haileti picha nzuri kwa nani? Kwahiyo unakaa unahesabu mtu kaleta wanawake wangapi, huna kazi ya kufanya?Kuna madogo kwa siku anaweza ingiza geto zaidi ya watatu, hii mbaya sana haileti picha nzuri
Angekuwa ameoa na anafanya na mkewe usiku wa manane...maamuzi yako yangekuwa tofauti?Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Wewe Limbukeni acha uzwazwa wako hapa,kama ni kweli unayoyasema basi ni wazi kwamba wewe ni nyuki wa mashineni na huna madharaNina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Ulimpangushaje Sasa kama masharti yako mpaka awe ameo ..hao wengine wote wameoaaa..... Mzee acha zako wivuuuu tuuu ...amekugongea Mke wewe unaleta hasira ...Wahuni siwataki nyumbani kwangu kama hutaki kuoa baki single au ishi na mwanamke mmoja kwa uadilifu. Wahuni
Badilika siotabia njema na tutaendelea kuwafukuzaHaileti picha nzuri kwa nani? Kwahiyo unakaa unahesabu mtu kaleta wanawake wangapi, huna kazi ya kufanya?