Leo nimemfumania live bila chenga

hapa simu ina mafuriko ya msg zake, mmmh naona kaamua kunifuata ofisini namuona hapa kwenye vioo anakuja

Sasa huko ndiyo kumfumania mtu bila chenga, nikajua umemfumania kitu kipo ndani ya papuchi
.
.ila endelea kutupa updates akiingia hapo ofisin teh teh
 
Usikubali rushwa rushwa kama mpira wa kona, fanya maamuzi magumu.
 
pole sana. kama nakuona hapo unaagwa bai dada nawe unajibu aya karibu tena.

dunia uwanja wa fujo kiukweli
 
kachek afya kama upo fresh...endelea na maisha yako achana na huyo jamaa
 
Tupe updates, anasemaje hapo ofisin?
 
Tupe updates, anasemaje hapo ofisin?

kafika hapa nmezuga kama sijamuona, akaanza kupiga stori na shost Wangu Mimi kama sipo vile, akanitext anaomba tutoke nje tuongee sijamjibu kitu nikaendelea na kazi. Kaondoka kwa huzuni ila ameomba tuongee jioni
 
pole sana. kama nakuona hapo unaagwa bai dada nawe unajibu aya karibu tena.

dunia uwanja wa fujo kiukweli
yani nlikua nmefura hasira but nikatulia tulii yani sijui kwann nilikua mpole vile
 
siku moja wifi yako, aliwahi kuniambia kuwa wewe hata nikupe m,k,u,n,d,u, hauliziki. nilibaki nacheka ile mbaya, ila makavu aliyonipa yaliniingia.
 
Wewe ni mmoja kati ya mamia kwa uvumilivu. Hongera.

Sikubaliani na wewe kuwa wanaume wote tuko sawa. Hilo sio sahihi.

Najua utamsamehe tu!
Ila ukifanya hivyo sasa, atakuona maziwa lala.
La msingi ni chukua muda wa miezi 3 uishi bila kumpigia wala kujibu sms zake.

Kama ataendelea kukusumbua day and night for 3 months na uone seriousness ya how sorry he is msamehe.

Contrally, tafuta mwingine lakini usimpe papuchi unless uko sure he'll put a ring on your finger.
Sababu wanaume wengi tunapenda hiyo papuchi na we can go even an extra mile ndio tuipate!
 
Okey.... Ukihitaji msaada wa mawazo usisite. Amekukosea pakubwa huyoo..
kafika hapa nmezuga kama sijamuona, akaanza kupiga stori na shost Wangu Mimi kama sipo vile, akanitext anaomba tutoke nje tuongee sijamjibu kitu nikaendelea na kazi. Kaondoka kwa huzuni ila ameomba tuongee jioni
 
Umefanya vizuri kutokuanzisha varangati??kama ulishamuuliza kati yako na huyo mwingine na akashindwa cha kukujibu,jua tu huyo ni mchepukaji hata ukiridiana nae,chances za kurudia kosa bado ni kubwa maana uwezo wake wa kufanya maamuz ni mdogo sana?forgive him,forget him,n move on??
 
Unataka kula mwenyewe kwani sumu hiyo ???? !!!! waonee huruma na wenzio ambao hawana .... the less fortunate :lock1:
 
So Sory...Move On!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…